Serikali kutangaza ajira mpya 32,000 wiki ijayo, Afya na Elimu kunufaika zaidi

Waziri Jenister Mhagama akitoa kauli ya Serikali bungeni kuhusu upungufu wa watumishi nchini, amesema Rais ameridhia na kutoa kibali cha kuajiri watumishi 30,000 na wiki ijayo atazitangaza...
Ukumbuke. tanesco, pura, TPDC, madini, bandari, ewura, madini, gst, mifugo, kilimo, TARURA, Tanroads , mamlaka Za maji, viwanja vya ndege, Tanapa, tbs, osha, ardhi, sheria, viwanda, walimu, manesi, madaktari, phamasia, ujenzi, Jeshi, polisi, maendeleo ya jamii, gasco, TISS, misitu,
 
Someni katika tovuti ya Sekretariat ya Ajira kuna ufafanuzi wameueleza leo
 
Waziri Jenister Mhagama akitoa kauli ya Serikali bungeni kuhusu upungufu wa watumishi nchini, amesema Rais ameridhia na kutoa kibali cha kuajiri watumishi 30,000 na wiki ijayo atazitangaza...
Ozi hajira kila zikitoka ni afya elimu, lakini kuna tahasusi nyingi watu wanahitaji ajira zaido ya afya na elimu kwaiyo usipokuwa mwalimu na mtu afya kwenye nchi hii hajira hakuna?
 
Propaganda nyingi kweli kweli. Wiki ijayo si mbali [emoji2214][emoji2214]
 
Ukumbuke. tanesco, pura, TPDC, madini, bandari, ewura, madini, gst, mifugo, kilimo, TARURA, Tanroads , mamlaka Za maji, viwanja vya ndege, Tanapa, tbs, osha, ardhi, sheria, viwanda, walimu, manesi, madaktari, phamasia, ujenzi, Jeshi, polisi, maendeleo ya jamii, gasco, TISS, misitu,
Polisi wapo coz saizi walitoa mwakajn ko hawawez kutoa wakt kuna coz inaendelea
 
Kikubwa umeeelewa nilicho maanisha ndo maana umerekebisha
Kwa namna hii kiswahili kuandika ni shida,je ile lugha iliyofika kwa meli utaweza kuandika kwa usahihi?harafu mkifeli Interview mnasema kuna watu wamewapanga
 
Sio harafu - HALAFU
usitie kukijua sanaaa kiswahilii kuna typing error na iyo lugha pia tumo bring it on bruuh
 
Yeye sioni kama anafanya mambo kwa maslahi ya wengi anglia mifuko sasa mfano wa NSSF hii mifuko ya jamii imekua ni tabu watu kuchukua chao kisa visheria alivyovipendekeza na vimekua mwiba kwa wajiriwa, mtu kapigika lakini mafao yake kuyapata ni shuhuli, hako kafao ka kujitoa imekua ni kero hata watumishi wanashindwa kuwajibu waajiriwa na waajiri kwa upupu uliowekwa
Kuhusu visheria vibovu kwa kweli wangevirekebisha hasa PSSSF
 
Upande wa pili pamoja na kusambaza chawa wenye ID's kumi kumi mitandaoni lkn wanazidi kupotezwa tu kwa speed ya upepo. Wao wanaendekeza porojo, wenzao wanakamilisha miradi na kuajiri kila mwaka.
Kuajiri na kukamilisha miradi ni jukumu lao..
 
Sasa kama hao watumishi waliopo tu mwaka wa 6 sijui wa 7 hawajawahi kuwaongezea hata mia , hao 32,000 watawalipa nini? kuna vitu vinafikirisha sana, na bado bei ya vitu imepanda yani hakuna watu wameonewa kama watumishi wa bongo,Mungu awasimamie sana, wengine wanapandishwa vyeo lakini mishahara haibadilishwi yaani usanii mtupu , lakini bado wanasifiana tu ooh wanaupiga mwingi.
 
"Kilimo ni uti wa mgongo wa taifa" Wamekazania tuu afya na elimu , wakulima hawana msaada wowote wa wataalam, wanajilimia tuu ilimradi wamelima. Miaka ya nyuma kulikuwa na maafisa kilimo waliokuwa wanapita shamba kwa shamba kukutana na wakulima na kuwashauri juu ya njia bora za kukuza kilimo pamoja na kutoa elimu ya teknolojia mpya katika sekta ya kilimo. Leo hii kwa mwaka wanaajiriwa maafisa kilimo wasiofika hata 10 nchi nzima
 
Waziri Jenister Mhagama akitoa kauli ya Serikali bungeni kuhusu upungufu wa watumishi nchini, amesema Rais ameridhia na kutoa kibali cha kuajiri watumishi 30,000 na wiki ijayo atazitangaza.

Waziri Jenister Muhagama: Nasimama hapa kwa heshima kubwa ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ninaomba niwaarifu waheshimiwa wabunge, mheshimiwa Rais na Serikali yake wametambua tatizo hili la uhaba wa watumishi na hasa kwenye miradi ya sekta ya afya na sekta ya elimu na hivyo basi, mheshimiwa Rais ametoa kibali, ahadi ya Serikali katika mwaka huu wa fedha ilikuwa tuajiri watumishi elfu 44.

Tayari Serikali ilikwisha kuajiri watumishi wapya na watumishi wa ajira mbadala 12,000. Niwathibitishie wabunge, mheshimiwa Rais ameridhia na wiki ijayo nitatoa tangazo Rasmi la ajira 32,000 na utaratibu wa ajira hizo na mgawanyo wake katika sekta ambazo zinaongoza kwa uhaba wa watumishi, maelezo yote nitayatoa wiki ijayo.

===========================

Serikali imeyangaza kuwa itataoa ajira za watumishi 32,000 ambapo miradi ya afya na sekta ya elimu ndiyo watakaokuwa wanufaika wakubwa.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Jenista Mhagama ameyasema hayo Bungeni leo Aprili 6, 2022.

“Kumekuwa na hofu kuhusu sekta ya elimu na afya, naomba niwaarifu kuwa Rais na Serikali yake wametambua tatizo la uhaba wa watumishi hasa kwenye miradi ya afya na sekta elimu, ahadi ya Serikali kwa mwaka huu wa fedha ilikuwa tuajiri watumishi 44,000.

“Tayari Serikali imeshapitisha watumishi wapya 12,000, naomba niwathibitishie kuwa Rais ameridhia na wiki ijayo tutatoa tangazo la ajira 32,000 mpya. Utaratibu na mgawanyo wake, maelezo yote nitayatoa wiki ijayo,” – Jenista Muhagama.
Wafuasi wa dikteta Magufuli watapinga na hilo, Hawa mbwa inatakiwa wapigwe marungu ya vichwa
 
Twende na Samia hadi 2039, 2025 katiba mpya, baada ya hapo anaanza vipindi viwili vya miaka Saba saba
 
Waziri Jenister Mhagama akitoa kauli ya Serikali bungeni kuhusu upungufu wa watumishi nchini, amesema Rais ameridhia na kutoa kibali cha kuajiri watumishi 30,000 na wiki ijayo atazitangaza.

Waziri Jenister Muhagama: Nasimama hapa kwa heshima kubwa ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ninaomba niwaarifu waheshimiwa wabunge, mheshimiwa Rais na Serikali yake wametambua tatizo hili la uhaba wa watumishi na hasa kwenye miradi ya sekta ya afya na sekta ya elimu na hivyo basi, mheshimiwa Rais ametoa kibali, ahadi ya Serikali katika mwaka huu wa fedha ilikuwa tuajiri watumishi elfu 44.

Tayari Serikali ilikwisha kuajiri watumishi wapya na watumishi wa ajira mbadala 12,000. Niwathibitishie wabunge, mheshimiwa Rais ameridhia na wiki ijayo nitatoa tangazo Rasmi la ajira 32,000 na utaratibu wa ajira hizo na mgawanyo wake katika sekta ambazo zinaongoza kwa uhaba wa watumishi, maelezo yote nitayatoa wiki ijayo.

===========================

Serikali imeyangaza kuwa itataoa ajira za watumishi 32,000 ambapo miradi ya afya na sekta ya elimu ndiyo watakaokuwa wanufaika wakubwa.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Jenista Mhagama ameyasema hayo Bungeni leo Aprili 6, 2022.

“Kumekuwa na hofu kuhusu sekta ya elimu na afya, naomba niwaarifu kuwa Rais na Serikali yake wametambua tatizo la uhaba wa watumishi hasa kwenye miradi ya afya na sekta elimu, ahadi ya Serikali kwa mwaka huu wa fedha ilikuwa tuajiri watumishi 44,000.

“Tayari Serikali imeshapitisha watumishi wapya 12,000, naomba niwathibitishie kuwa Rais ameridhia na wiki ijayo tutatoa tangazo la ajira 32,000 mpya. Utaratibu na mgawanyo wake, maelezo yote nitayatoa wiki ijayo,” – Jenista Muhagama.
% ya Wazanzibari isisahaulike kwenye hizo Ajira tafadhali
 
Sidhani

Yaani watu elfu 32 waajiriwe kwa mkupuo wakati kuna taasisi vibali vya kuajiri havitolewi kisa pesa hakuna??
 
Msiochoma chanjo hii itaenda kuwa mwiba kwenu.... Ukiambiwa u attach cheti utashangaa na roho....

Weka hii kama kumbu kumbu [emoji3578]
 
Back
Top Bottom