peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Ukumbuke. tanesco, pura, TPDC, madini, bandari, ewura, madini, gst, mifugo, kilimo, TARURA, Tanroads , mamlaka Za maji, viwanja vya ndege, Tanapa, tbs, osha, ardhi, sheria, viwanda, walimu, manesi, madaktari, phamasia, ujenzi, Jeshi, polisi, maendeleo ya jamii, gasco, TISS, misitu,Waziri Jenister Mhagama akitoa kauli ya Serikali bungeni kuhusu upungufu wa watumishi nchini, amesema Rais ameridhia na kutoa kibali cha kuajiri watumishi 30,000 na wiki ijayo atazitangaza...
Someni katika tovuti ya Sekretariat ya Ajira kuna ufafanuzi wameueleza leoUkumbuke. tanesco, pura, TPDC, madini, bandari, ewura, madini, gst, mifugo, kilimo, TARURA, Tanroads , mamlaka Za maji, viwanja vya ndege, Tanapa, tbs, osha, ardhi, sheria, viwanda, walimu, manesi, madaktari, phamasia, ujenzi, Jeshi, polisi, maendeleo ya jamii, gasco, TISS, misitu,
Ozi hajira kila zikitoka ni afya elimu, lakini kuna tahasusi nyingi watu wanahitaji ajira zaido ya afya na elimu kwaiyo usipokuwa mwalimu na mtu afya kwenye nchi hii hajira hakuna?Waziri Jenister Mhagama akitoa kauli ya Serikali bungeni kuhusu upungufu wa watumishi nchini, amesema Rais ameridhia na kutoa kibali cha kuajiri watumishi 30,000 na wiki ijayo atazitangaza...
Ni Ajira sio hajiraOzi hajira kila zikitoka ni afya elimu, lakini kuna tahasusi nyingi watu wanahitaji ajira zaido ya afya na elimu kwaiyo usipokuwa mwalimu na mtu afya kwenye nchi hii hajira hakuna ?????
Kikubwa umeeelewa nilicho maanisha ndo maana umerekebishaNi Ajira sio hajira
Polisi wapo coz saizi walitoa mwakajn ko hawawez kutoa wakt kuna coz inaendeleaUkumbuke. tanesco, pura, TPDC, madini, bandari, ewura, madini, gst, mifugo, kilimo, TARURA, Tanroads , mamlaka Za maji, viwanja vya ndege, Tanapa, tbs, osha, ardhi, sheria, viwanda, walimu, manesi, madaktari, phamasia, ujenzi, Jeshi, polisi, maendeleo ya jamii, gasco, TISS, misitu,
Kwa namna hii kiswahili kuandika ni shida,je ile lugha iliyofika kwa meli utaweza kuandika kwa usahihi?harafu mkifeli Interview mnasema kuna watu wamewapangaKikubwa umeeelewa nilicho maanisha ndo maana umerekebisha
Sio harafu - HALAFUKwa namna hii kiswahili kuandika ni shida,je ile lugha iliyofika kwa meli utaweza kuandika kwa usahihi?harafu mkifeli Interview mnasema kuna watu wamewapanga
Kuhusu visheria vibovu kwa kweli wangevirekebisha hasa PSSSFYeye sioni kama anafanya mambo kwa maslahi ya wengi anglia mifuko sasa mfano wa NSSF hii mifuko ya jamii imekua ni tabu watu kuchukua chao kisa visheria alivyovipendekeza na vimekua mwiba kwa wajiriwa, mtu kapigika lakini mafao yake kuyapata ni shuhuli, hako kafao ka kujitoa imekua ni kero hata watumishi wanashindwa kuwajibu waajiriwa na waajiri kwa upupu uliowekwa
Kuajiri na kukamilisha miradi ni jukumu lao..Upande wa pili pamoja na kusambaza chawa wenye ID's kumi kumi mitandaoni lkn wanazidi kupotezwa tu kwa speed ya upepo. Wao wanaendekeza porojo, wenzao wanakamilisha miradi na kuajiri kila mwaka.
Wafuasi wa dikteta Magufuli watapinga na hilo, Hawa mbwa inatakiwa wapigwe marungu ya vichwaWaziri Jenister Mhagama akitoa kauli ya Serikali bungeni kuhusu upungufu wa watumishi nchini, amesema Rais ameridhia na kutoa kibali cha kuajiri watumishi 30,000 na wiki ijayo atazitangaza.
Waziri Jenister Muhagama: Nasimama hapa kwa heshima kubwa ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ninaomba niwaarifu waheshimiwa wabunge, mheshimiwa Rais na Serikali yake wametambua tatizo hili la uhaba wa watumishi na hasa kwenye miradi ya sekta ya afya na sekta ya elimu na hivyo basi, mheshimiwa Rais ametoa kibali, ahadi ya Serikali katika mwaka huu wa fedha ilikuwa tuajiri watumishi elfu 44.
Tayari Serikali ilikwisha kuajiri watumishi wapya na watumishi wa ajira mbadala 12,000. Niwathibitishie wabunge, mheshimiwa Rais ameridhia na wiki ijayo nitatoa tangazo Rasmi la ajira 32,000 na utaratibu wa ajira hizo na mgawanyo wake katika sekta ambazo zinaongoza kwa uhaba wa watumishi, maelezo yote nitayatoa wiki ijayo.
===========================
Serikali imeyangaza kuwa itataoa ajira za watumishi 32,000 ambapo miradi ya afya na sekta ya elimu ndiyo watakaokuwa wanufaika wakubwa.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Jenista Mhagama ameyasema hayo Bungeni leo Aprili 6, 2022.
“Kumekuwa na hofu kuhusu sekta ya elimu na afya, naomba niwaarifu kuwa Rais na Serikali yake wametambua tatizo la uhaba wa watumishi hasa kwenye miradi ya afya na sekta elimu, ahadi ya Serikali kwa mwaka huu wa fedha ilikuwa tuajiri watumishi 44,000.
“Tayari Serikali imeshapitisha watumishi wapya 12,000, naomba niwathibitishie kuwa Rais ameridhia na wiki ijayo tutatoa tangazo la ajira 32,000 mpya. Utaratibu na mgawanyo wake, maelezo yote nitayatoa wiki ijayo,” – Jenista Muhagama.
Dikteta hakuwai kuajiri kabisa sekta yoyote mpk anaingia kaburiniNilidhani wataajiri hata laki 2 hivi kumbe elfu 32 pekee?
% ya Wazanzibari isisahaulike kwenye hizo Ajira tafadhaliWaziri Jenister Mhagama akitoa kauli ya Serikali bungeni kuhusu upungufu wa watumishi nchini, amesema Rais ameridhia na kutoa kibali cha kuajiri watumishi 30,000 na wiki ijayo atazitangaza.
Waziri Jenister Muhagama: Nasimama hapa kwa heshima kubwa ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ninaomba niwaarifu waheshimiwa wabunge, mheshimiwa Rais na Serikali yake wametambua tatizo hili la uhaba wa watumishi na hasa kwenye miradi ya sekta ya afya na sekta ya elimu na hivyo basi, mheshimiwa Rais ametoa kibali, ahadi ya Serikali katika mwaka huu wa fedha ilikuwa tuajiri watumishi elfu 44.
Tayari Serikali ilikwisha kuajiri watumishi wapya na watumishi wa ajira mbadala 12,000. Niwathibitishie wabunge, mheshimiwa Rais ameridhia na wiki ijayo nitatoa tangazo Rasmi la ajira 32,000 na utaratibu wa ajira hizo na mgawanyo wake katika sekta ambazo zinaongoza kwa uhaba wa watumishi, maelezo yote nitayatoa wiki ijayo.
===========================
Serikali imeyangaza kuwa itataoa ajira za watumishi 32,000 ambapo miradi ya afya na sekta ya elimu ndiyo watakaokuwa wanufaika wakubwa.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Jenista Mhagama ameyasema hayo Bungeni leo Aprili 6, 2022.
“Kumekuwa na hofu kuhusu sekta ya elimu na afya, naomba niwaarifu kuwa Rais na Serikali yake wametambua tatizo la uhaba wa watumishi hasa kwenye miradi ya afya na sekta elimu, ahadi ya Serikali kwa mwaka huu wa fedha ilikuwa tuajiri watumishi 44,000.
“Tayari Serikali imeshapitisha watumishi wapya 12,000, naomba niwathibitishie kuwa Rais ameridhia na wiki ijayo tutatoa tangazo la ajira 32,000 mpya. Utaratibu na mgawanyo wake, maelezo yote nitayatoa wiki ijayo,” – Jenista Muhagama.
Dikteta alijikita kutafuna pesa kwenye miradiDikteta hakuwai kuajiri kabisa sekta yoyote mpk anaingia kaburini