The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Hatukurupuki,hata hiyo impacts hatuiangalii kwenye maumivu yenu bali tunaangalia kama consumption ya mafuta imepungua ndio tunafanya uamzi..Watakaokuelewa ni wachache sana, tena ambao ndiyo walewale mlikokotoa hizo bil 100 mkaona zinatufaa watu 60m kwa siku 30.
Utaniambia kama impact ya Bil 100 kwa watu mil 60 kwa wezi itaonekana....huu ni UTANI, ni bora mngeacha kabisa ili lijulikane moja.
Muvi mpya hiyo.Bunge litaendelea na vikao vyake leo na kubwa linalotarajiwa kutokea ni mrejesho wa hatua ambazo Serikali inatarajiwa kuchukua kukabiliana na kupanda kwa kasi bei za mafuta kunakotajwa kusababishwa na vita ya Urusi na Ukraine...
Unafikiri Magu angefanya nini kwa kipindi Kama hiki? Unafikiri hii ni korona? Vita vya wakubwa historically wanaoumia ni wadogo,refer 1st and 2nd world wars.Mtanikumbuka tu nasema mtanikumbuka .nchi yeyote duniani ili kufika mbali inahitaji dikteta awapeleke mpaka mambo yakae saw Kwa command ila ukiwa mnajifanya watu demokrasia mtajuta bado sana nchi za Africa kuwa na demokrasia
yaani tunaongozwa kimafumbo mafumbo tu,mara ooh jambo lenu lipo, mara bei ya pipa duniani, tozo za kitaasisi...takwimu nyingiii, TUAMBIENI MAFUTA BEI ELEKEZI SHILINGI NGAPI. heh?Bunge litaendelea na vikao vyake leo na kubwa linalotarajiwa kutokea ni mrejesho wa hatua ambazo Serikali inatarajiwa kuchukua kukabiliana na kupanda kwa kasi bei za mafuta kunakotajwa kusababishwa na vita ya Urusi na Ukraine...
Kwa hyo bei inashuka lini sisi hatutaki matangazo hayo
Bavicha ni janga la taifaAlichokiona ndani ya siku zote hizo ni msononeko! Siku tano anamchungulia Rais kuona msononeko kama unapanda unashuka! Kumbe hata mimi naweza nikawa waziri Tanzania.
Hata mimi nasubiri nina hamu ya kujua.Lita ya mafuta itauzwa shillingi ngapi?
Anaitwa Nani?China mbali, Marekani hapo, aliyewatoa kwenye great depression na kuifanya liwe taifa lenye nguvu duniani 1933 - 1945 alikaa madarakani awamu 4 na akafia madarakani. Tokea 1945 Marekani ndio ikawa nchi yenye nguvu duniani kuliko zote. Sisi hapa bila vita nchi hii haiendi.
FDR- Franklin Roosevelt