Siwamilele
JF-Expert Member
- Oct 22, 2019
- 288
- 730
Nimecheka sana khaaa!Mungu hawezi kulinda watu wapumbavu, unamkaribisha vipi mchina ambae hata pesa hana, mchina ameanza lini kutalii kama si kukimbia balaa,
CHINA yote sio salama ndugu, maambukizi mapaya yanagunduliwa kila siku hata nje ya Wuhan, wewe unasema mpaka wawe wametokea Wuhan? Tanzania ina akili na wataalamu sana kuliko nchi nyingine zilizopiga marufuku raia wa China kuwasili nchini kwao?Hili si jambo la dhana ni jambo la uhakika! Ndio Mana aliyekoment aliomba uthibitisho iwapo watalii ni wale wa WUHAN?
Sent using Jamii Forums mobile app
Bora slay Queen nitafikisha hata siku 14, wewe Marioo siku 3 tu tushakula ubwabwa ya nne tumekusahau umekua chakula cha funza.Slay Queen ukipata tu huchukui round ni 14 days tu dalili zinaonesha,utakohoa wewe mpaka watu watakushtukia tu
Naona umemuacha mtoa koment umeamua kula sahani moko na mimi kwa vihoja vyako uchwara;CHINA yote sio salama ndugu, maambukizi mapaya yanagunduliwa kila siku hata nje ya Wuhan, wewe unasema mpaka wawe wametokea Wuhan? Tanzania ina akili na wataalamu sana kuliko nchi nyingine zilizopiga marufuku raia wa China kuwasili nchini kwao?
Haya, kwa hiyo hao waliosambaza huo ugojwa nchi nyingine walisamabazaje kama wachina walioathirika ni wachaceh kiasi hicho? Huo mji wa Wuhan upo kwenye karantini , lakini bado maambukizi yanaenea, huo ugonjwa unaeneaje? nakuuliza hivi hao majirani wa China kama vile Urusi ambao wamepiga marufuku Wachina nchini kwao hawana akili? Austaralia, New zealand, Ufilipino, Singapore etc ambao wote hawa wamepiga marufuku raia wa China, hawa hawana akili? manawazidi kwa teknolojia na wataalamu dhidi ya huu ugonjwa? unajua athari tu ya mtu mmoja mwenye maambukizi kutua Tanzania?Naona umemuacha mtoa koment umeamua kula sahani moko na mimi kwa vihoja vyako uchwara;
China inaongoza kwa idadi ya watu duniani ikikadiriwa kuwa na 1,409,641,539 sasa vifo ss vimefikia 2500 na maambukizi yanayokadiriwa kuwa 80,000 unadhani ni wastani wa wachina wangapi katika ratio hapo.
Media zimeamua kuzua taharuki ambayo si sahihi sana badala ya kujikita kwenye kutafuta dawa.
Akili za kuambiwa changanya na zako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Angalia Kenya walivyoserious na hizi issue ila Tanzania kimya as nothing happened.Ina uma Sana ndugu Zanguni
Imagine Mwanao yupo China amekataliwa kuja Tanzania Wakati huo huo Nchi inapokea Watalii kutoka kutoka huko huko China
Mbona Mnatufanyia hivi Serikali ya Awamu ya Tano ??
Mnataka tufe Kama kuku waliovamiwa na Mdondo ??
Mkuu huu ugonjwa ukiripuka hapa Tz nakuhakikishia tutakufa kama kuku wenye mdondo. Kama kusambaza madawa tu ya malaria nchi nzima ni tatizo how do you think the government will be able to prevent and eradicate such a contagious and deadly CONV?Ikiwa jambo kubwa kama kuhiji lakini saudia ikapiga marufuku watu kuingia nchini mwao ili kuudhibiti ugonjwa sisi tamaa tumeweka mbele tunakaribisha mamia ya wachina ukilipuka hapa sijui tutakimbilia wapi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeangalia hii video nasikitika namna tulivyo na ujinga wa kupindukia. Dunia nzima inahaha na huu ugonjwa na wanajitahidi kuzuia wasafiri kutoka china. Sisi kwa ujinga wetu tunajisifu kupokea wachina wengi. Let not be fooled by prosperous tourism industry..citzens first. Ugonjwa ukilipuka hapo hautachagua chama. let work together, raise voice. Serikali kama haioni umuhimu wa maisha yetu basi tunafaa kuikumbusha kutumia akili. Yani polepole ndo wakuja kuzungumzia masuala sensitive kama coronavirus kweli. Halafu tunajisifu eti watalii wameongezeka. Gharama za huu ujinga zitakuwa kubwa sana tusipo zuia leo. Mark my word.
swali ni kuwa huyu jamaa hajasikia kabisa hatari ya huu ugonjwa kweli?. Poor Africa, poor Tanzania.
Ummy sijui yuko wapi, sijamsikia akisema lolote kuhusiana na ugonjwa huuMpaka tusikie kapatikana mgonjwa mmoja wa corona hapa Tanzania ndo tutaamka.
Sent using Jamii Forums mobile app