Serikali kutodhibiti idadi ya wageni wanaoingia nchini kwa kisingizio cha Utalii, inahatarisha Usalama wa Taifa dhidi ya virusi vya Corona

Tanzania Ni
Sikio La Kufa Litasikia Kwa Mungu.
πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜
 
Hizi picha mbona mnaweka za Huko Kenya jamani. Wakenya wameruhusu Wachina 239 kuingia nchini mwao na waliofanya hivyo wameamriwa na Mahakama wawatafute hao wachina wote popote walipo. Watu wachache wajinga kwa maksudi au kwa chuki zao wametumia hiyo picha kuwa hao wachina Wameingia Tanzania, this is totaly wrong and unfair.
Tanzania hawajaingia hao Asian, tuamke wenzetu Kenya wako Concius sana linapokuja suala linalichafua image ya Nchi yao kamwe hawawezi kulishadadia na kulipost mitandaoni.
Kwa ushahidi zaidi hata aliyepiga hiyo Video tayari amefukuzwa kazi na KQ kwamba amehujumu sekta ya Utaliii.
Hapa kwetu Mrisho Gambo mmemuona mchawaaawi kwa kumkemea yule anayepiga picha za barabara mbovu na kusambaza kwa Maksudi ili kufifisha Sekta ya Utaliii.
Hivi mnajua kuwa Marekani imetoa Onyo kuwa huko Kenya patatokea Shambulio kama la Westgate kipindi hiki, lkn tafuta mtandaoni kama utakuta Mkenya analishare popote.... ingekua kwa Upande wa Tanzania sasa weeeeeeeeee hata Korea ya Kiduku wangejua, lkn Kenya Thubutuuuuu. Anyway Shule/Elimu ndio kila kitu acha tu tuitwe Makasuku maaana tunapuyuka lolote na Popote.
 
Aisee nimesomaaa balaa
 
Weka ushahidi wakiingia Tzie vinginevyo acha porojo za kusikia vijiwe vya kahawa zitakuponza maaana tunakuheshimu hapa JF.
 
Naombea anaeruhusu Wachina Kuingia KIA Nchini Korona Ianze nae,Kama ilivyoanza na Makamu wa Raisi wa Irani!
Mwenye Mamlaka wa Kuzuia hawazuii,Corona ianze nao!

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaaaampwaaaambavuuzanguu.makamuu.akajuaa.kufaakufaana.anatengenezahelaazautaliii...analoo
 
Kwanza unaongea peke yako Awamu ya tano wanataka Corona iingie haraka ili waendelelee kupiga marufuku mikusanyiko

Ili kampeni zisifanyike hata Watanzania milioni ishirini wakifa CCM haijali wanachojali ni kujichimbia Ikulu na kuendelea na ulaji wao
This somehow triggers my mind. Yawezekana yaliyomo yamo maana si kwa ukimya huu while tuko katika situation ya kuukaribisha huu ugonjwa muda wowote ule kwa kuwakaribisha wageni wa kichina nchini eti tunakuza utalii.
Pathetic
 
Corona ghafla umegeuka kuwa ugonjwa wa kutisha na mkubwa duniani. Nchi za wenye akili wameshachukua hatua za kuzuia kwa kupiga maruku raia kutoka ulikoanzia ugonjwa kuingia katika nchi zao na wote waliokwenda au kutoka huko hivi karibuni kuwekwa katika karantini maalum.

Wakati wenzetu wanawakwepa, sisi tunawapokea kwa bashasha kama watalii huku tukiwa na uwezo, vifaa na utaalamu duni wa kupambana na huo ugonjwa.

Ugonjwa ukiingia utasikia tume maalumu inaundwa ya kuchunguza ugonjwa uliingiaje. Hapo hapo itaundwa kamati maalumu ya kushughulikia ugonjwa huo ikiwa ni pamoja na kukusanya michango kwa ajili ya waathirika/wahanga.

Viongozi wa dini wataanza kuitisha ibada maalum za kuomba Mungu atunusuru ndiyo maisha yetu. Yanaendeshwa kwa kudra za Mungu badala ya akili alizotupa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Badala ya Waziri mwenye dhamana ya Afya kuwaeleza Wananchi kuhusu hili la kuwaleta Wachina hapa nchini ilihali nchi yao bado inapambana na gonjwa hili hatari, yeye anatuasa tuache kusalimiana kwa mikono na pia kukumbatiana. Ya Mungu mengi, mchuzi kuunga bluu!
 
Acha uongo wewe...Port Health kila Siku pale KIA kwenye arrival side sana scan watu wanaoingia kuhusu Afya...

Same to JNIA .

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa ugonjwa huu hilo haitoshi. Yeyote atokaye huko, awe ana hizo dalili au la, anatakiwa awekwe sehemu iliyo ya kujitenga kwa siku 14, akipimwa joto, kuangalia choo na kama anatapika, kuumwa mwili n.k. mpaka ihakikishwe kweli hana madhara.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…