Serikali kutumia kigezo cha kujitolea kuajiri Walimu siyo haki

Utajitolea kijijini huko hata kama huna access ya makazi ? Hivi unadhani simple tu?
 
Exactly
 
Ukiwa UVCCM jina linarudi
 
Utajitolea kijijini huko hata kama huna access ya makazi ? Hivi unadhani simple tu?
Wengi wanaongea humu wapo nyuma ya keyboard tu
Mimi nipo huku kijijini ndio nalipoti. Sasa wewe unajitolea katikati ya mji kuna mtu anakwambia mjini kuna shida ya walimu??
Unajua ukitaka kuruka agana na nyonga. Inawezekana huna shida ya ajira wenye shida ya ajira tupo nao huku tangu 2018 mei. walimu hao tarajali wapo wanajitolea na degree zao tena primary we umekaa mjini unalialia ukidhani utahurumiwa.
Huku vijana wanapambana na kwa taarifa yako majina yalishaenda 2months ago na ajira hizo wanapata tu. Hao 12000 serikali wanaotaka kuwaajiri, wanaojitolea wanazima hilo gap; wanapatikana vizuri tu bila shida maana kwenye kata yetu tu wapo kama 16 hivi
 
Wewe ni mwalimu usitake kujitoa. Ulifeli


Hakuna mtu aliyefaulu akaenda kusomea ualimu. Ualimu sawa na u-bar maid tu nchi hii.
Wewe kweli sexless, unathibitisha kwa maandishi ulivyo kiumbe cha ajabu hapa duniani.
 
Mm wanangu wapo nje. Hawawezi kufundishwa na failures. Nchi za watu ualimu wanaenda majiniaz tu na wanalipwa vizuri. Hapa failures wanaenda ualimu na mishahara yenu sawa na ya mabaa medi
Wewe mpuuzi kweli, hujui kuna walimu wa international schools wenye ufaulu mzuri zaidi yako?

Ukisema wanao wako nje, hata Uganda napo ni nje pia, stop exposing your stupidly arrogance here.
 
Ili kuwa mwalimu lazima ufeli form 6. Na kiukweli hata uwezo wako wa kujenga hoja hapa ni mdogo Sana ndiyo maana unaishia kutukana tu. Form 6 failure wewe.
Huna akili nyumbu kwel wew.. inamaana kunamwanafunzi kapangwa na TCU chuo kikuu ilhali kakosa credit??au unamaanisha nin? Ngoja nkutukane ujue hoja yangu ilipo "taahira wew"
 
Mjomba nakushauri mbele ya safari ujiajiri tu, habari ya kuagana na nyonga usiiendekeze, itakudumaza.
 
Kama alijitolea kwa malipo kidogo siyo kupenda kwake ni kwamba hakuwa na option nyingine. Kujitolea kama huna uhakika wa kula siyo kujitolea huko na haiwezekani, nimewahi kujitolea lakini ni kwa mda mfupi hivi unajitoleaje tangu 2017 umemaliza chuo
 
Wewe mpuuzi kweli, hujui kuna walimu wa international schools wenye ufaulu mzuri zaidi yako?
Hizo international schools labda kama ziwe na walimu toka Ulaya. Lkn kama ina walimu wabongo hakuna kitu
 
inamaana kunamwanafunzi kapangwa na TCU chuo kikuu ilhali kakosa credit??au unamaanisha nin?
Kama kigezo chako ni neno kufaulu basi hata aliyepata SSS kwenye tahasusi yake kafaulu. In short wanaoenda ualimu ni makombo ya kundi la waliofaulu.

Kwahiyo vyuo vinachagua cream ya waliofaulu na kuwaweka fani zenye maana halfu makombo yanatupwa ualimu
 
 
Wacha ujinga, hakuna chuo cha elimu ya juu hapa Tz kisichotoa kozi ya ualimu, na huko wapo wanafunzi wenye viwango tofauti vya ufaulu kulingana na viwango walivyojiwekea vyuo husika kwenye kupokea wanafunzi.

Wacha kuwadharau usiowajua dogo.
 
Wacha kuwadharau usiowajua dogo.
Muulize mzazi yeyote mtaani kwako kwamba: je, angependa mwanaye asomee ualimu?" Atakujibu: " akikosa fani nyingine zote ndiyo itabidi akasome ualimu".

Sasa mwanafunzi anakosaje fani nyingine zote? Ni kwasabb anakuwa na ufaulu hafifu. Ualimu siyo kazi ndugu.
 
Hii research yako ya ajabu uliifanyia wapi?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…