Hii Serikali wasanii tu. Mke wangu ni Mwalimu wa Physics alikuwa anajitolea kufundisha shule moja kwenye Municipal moja,ajira zilivyotangazwa headmaster wa hiyo secondary akamuandikia recommandation kwamba anamuhitaji na ikipitishwa na DED. Ajira zilipotoka akapangiwa mkoa wa mbali huko yaan 2000km kutoka tulipo tena vijijini hata network ni shida. Kuna classmate wangu yupo TAMISEMI kanihangaikia ili abadilishiwe kashindwa anaambiwa ni maagizo kutoka juu hakuna kubadilisha. Hiyo ilikuwa 2017.
Kujitolea wala siyo issue sana! Lakini je utaishije huko vijijini?
Sema ukweli ukifuatilia wengi wanaochukuliwa ni wale walio na kadi ya kupigia kura na wamepewa kadi za CCM!Jamani! Suala la wakuu wa shule kutuma majina ya walimu wanaojitolea ofisi ya Rais-tamisemi kwa lengo la kupatiwa ajira ni ubaguzi na siyo haki kabisa.
Kama mtakumbuka baada ya ajira kuwa ngumu! Serikali ilitoa tamko vijana kutafuta fursa kwenye mashirika na shule binafsi pia serikali ilisisitiza vijana kujiajiri kwa lengo la kujikwamua kimaisha kwa kipindi chote wakisubiria fursa za ajira zitakapotangazwa.
Kweli! Baada ya matamko hayo vijana wengi walianza kutafuta fursa kila mahali! Kwenye mashirika, shule binafsi, kufungua mabanda ya chips, kulima bustani etc.
Lakini! Leo katika hali ya kushangaza serikali inapita kuchukua majina ya walimu wanaojitolea shule za serikali ili wapatiwe ajira za moja kwa moja!
Kinacho nisikitisha ni namna zoezi hili lilivyofanywa! Mfano mimi nilipomaliza chuo 2017 nilienda kujitolea sekondari fulani hapa jijini Dar! Lakini mazingira niliyokutana nayo ikiwemo kunyanyaswa kingono na walimu waajiriwa na gharama za nauli 800 kwa siku! kusema kweli ilifikia hatua nikashindwa kuendelea!
Mwaka huu mwezi wa pili! Wilaya ya temeke ilipotanga uhitaji wa walimu wa kujitolea nilienda kwa bahati mbaya huko nako nilipofika nikaambiwa wameshajaa hawahitaji tena!
Kwahiyo! Serikali inapotaka walimu waliojitolea ndio waajiriwe tu naona kabisa haitutendei haki ni bora ajira ziwe kwa wote ila wakujitolea wapewe kipaumbele kwanza!
Kitu kingine! Kwenye utumaji majina si kweli majina yote yaliyotumwa walikuwa wakijitolea! Wengine wameandikwa baada ya kusikia ofisi ya Rais- tamisemi inayahitaji. Yaani mkuu wa shule anamwandika ndugu yake kisha anamwambia awe anajisogeza sogeza hapo shuleni ili siku team ya tamisemi ikipita kufanya ukaguzi imkute!
Sisi ambao hatujuani na hatukuwa na hela za kuwaonga wakuu wa shule watume majina yetu naona giza tuturu kwa upande wetu! naomba serikali ilitazame upya suala la kujitolea kwa mapana zaidi ili na sisi wanyonge tupate fursa ya ajira!
Nadhani hapa ndio penye ujumbe wa msingi, namimi naunga mkono hoja. Mengine mengi katika uliyoeleza ni majungu na wivu na hofuni bora ajira ziwe kwa wote ila wakujitolea wapewe kipaumbele kwanza!
Mshukuru mungu kakupa hicho kipato...kupitia hao walimu failure tumepata wataalam mbali mbali mfano yule rubani wa kwanza mtanzania kupata leseni ya urubani na uinjinia kwa pamoja...walimu waliomfundisha ni watanzania na chuo tu ndo kasomea njeMm wanangu wapo nje. Hawawezi kufundishwa na failures. Nchi za watu ualimu wanaenda majiniaz tu na wanalipwa vizuri. Hapa failures wanaenda ualimu na mishahara yenu sawa na ya mabaa medi
2015 Sikupiga kura!Umelalamika sana na kweli inaleta maudhi na simanzi, ila mtu akikuuliza kuwa mwaka 2015 ulichagua chama gani jibu litakuwa ni CCM!
2015 Sikupiga kura!
yaani we badala ya kushukuru mke amepata ajira, unaanza kuleta ubishoo wa mtandao ili mjipige maselfie muyatupie FB. 😡😡😡Hii Serikali wasanii tu. Mke wangu ni Mwalimu wa Physics alikuwa anajitolea kufundisha shule moja kwenye Municipal moja,ajira zilivyotangazwa headmaster wa hiyo secondary akamuandikia recommandation kwamba anamuhitaji na ikipitishwa na DED. Ajira zilipotoka akapangiwa mkoa wa mbali huko yaan 2000km kutoka tulipo tena vijijini hata network ni shida. Kuna classmate wangu yupo TAMISEMI kanihangaikia ili abadilishiwe kashindwa anaambiwa ni maagizo kutoka juu hakuna kubadilisha. Hiyo ilikuwa 2017.
kijijini kwangu kuna walimu wawili wanajitolea tangu Septemba 2019 hadi leo......wanapiga kazi bia unyonge wowote. nikiwqfikiria hao, hili suala ni la haki sana!Nina walimu shuleni nawafahamu wanajitolea since march 2019 until now
Tuache Kulia lia mwalimu kajitolee bush huko utapata ajira
Sasa wewe unajitolea shule yenye walimu 30 mjini unategemea nini?
Tafuta kipori chako fulani hivi amazing jitolee huko uone. Mwajiri wala hatauliza amini ajira inakukuta humohumo
Watu hawana skills za kutosha za kumshawishi mwajiri awaajiri ndio shida.
Kajitolee porini achana na majiji au manespaa ingia kijijini huko
Acha kudanganya ummaNina jamaa zangu walipata division 1 wengine two form six science ni walimu wazuri we unasemaje??
Tafadhali mwalimu ... siyo HAKIBA ni akiba.Hakiba
Tafadhali mwalimu ... siyo HAKIBA ni akiba.
Acha kudanganya umma
Hii Serikali wasanii tu. Mke wangu ni Mwalimu wa Physics alikuwa anajitolea kufundisha shule moja kwenye Municipal moja,ajira zilivyotangazwa headmaster wa hiyo secondary akamuandikia recommandation kwamba anamuhitaji na ikipitishwa na DED. Ajira zilipotoka akapangiwa mkoa wa mbali huko yaan 2000km kutoka tulipo tena vijijini hata network ni shida. Kuna classmate wangu yupo TAMISEMI kanihangaikia ili abadilishiwe kashindwa anaambiwa ni maagizo kutoka juu hakuna kubadilisha. Hiyo ilikuwa 2017.
we ndo unadanganya nenda kaangalie majina wanayoyojiunga pale UDSM mwenye alama ndogo ana daraja la 2.10 hyo ilikuwa 2012, vitu vingine usiongee bila ya kuwa na uhakika ni aibuAcha kudanganya umma