Serikali kuwaruhusu CHADEMA kuwa na vikundi vya ulinzi ni kuhatarisha usalama wa nchi yetu na kinyume cha sheria.

Roho zinawauma mnaona inakuwa vigumu kuwadhuruπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚hawa niwalinzi binafsi wa Chairman
 
Acha uoga kaka watatu tu umeshaanza kutweta je wangekuwa wengi kama uvcvm?
 
yaani yote hii mbowe asilindwe ila amber Ruty akilindwa na mabounsa ili mpalange wake uwe salama hakuna kelele
 
Shida ya ccm wote akili zenu kisoda,jitie dole upunguze wivu
 
Kuuuma la mmko, na CCM kua na kundi la vijana wakakamavu ni nini ?
 
Ni sahihi kabisa.
 
Hujitambui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…