Serikali kuweka siku ya jumamosi kuwa siku ya Usaili ni kuwakosea Haki Wahitimu waumini wa kisabato

Hawa Wasabato waliwahi kuwa deregisterd pale SAUT kipindi cha VC Father Dk. Kitima na DVCA (Sasa Baba Askofu) Dk. Bernidine Mfumbusa walipokataa kufanya mitihani yao ya UE siku ya Jumamosi!
Ni Dk. Bernadine (siyo Bernidine) Mfumbusa Mhadhiri wangu aliyepika vyema katika Somo lake nililolipenda la Critical Thinking / Logical Reasoning mwaka 2009 pale SAUT Mwanza na namkubali hakuna Mfano kwani ana Akili (ni Genius) hadi anakera.
 
Hio hio biblia inasema asiyefanya kazi na asile 2 Wathesalonike 3:10-13

Biblia mnayotumia wasabato ni hii hii wanayotumia wakristo wengine hakuna tofauti. Kama mnaifata fateni yote bila kutaka kulazimisha wengine waifate kimafungu mafungu. Wayahudi sio wakristo hivyo wana tamaduni zao ambazo wasabato mmeiga ila hamuelewi mlichoiga
 
Tayari ushasema ni holidays. Leta mstari wa biblia kuhusu makambi
Mbona siku ya Christmas au Maulid, au Idi, au pasaka ni holiday?

Makambi ni sikukuu kubwa kwa Wasabato.
Ni lazima kusherehekea sio Ombi.
IPO kwenye Biblia.
 
Kama unaona sabato yako ambayo haijakupa ajira mpaka sasa n bora zaidi bc baki na usabato wako.
 
Ni kweli ni kuwakosesha haki ya kuikumbuka na kustarehe siku ya Sabato, lakini je wanaoenda kusailiwa ambao pia ni waumini wa kiadventista wanamsimamo gani wao kama wao, watakubali kushiriki usaili au wataugomea na kudai wapewe siku nyingineyo kufanya usaili.

Kama waumini wenyewe hawana msimamo wa kutetea haki yao, serikali haitapata msukumo wa kuwapa hio haki wanayostahili, kuna viongozi wa TUCASA na ministries za kiSDA wamefanya nini kushughulikia hili. Wamedai haki hio hawajasikilizwa?

Sabato iwe njema sana kwenu nyote, isiwe tu kusali ili kutimiza kwamba tumesali bali iwe ni baraka na wakati wa kukumbuka mema yote na uumbaji wetu uliotukuka.
 


Kwenye Torati kuna hiyo Amri ya KAZI
Na bahati nzuri kwenye hiyohiyo Amri ya KAZI ndio kuna Sheria ya MAPUMZIKO (SABATO)

Torati inasema ufanye Kazi kwa siku sita, siku ya Saba apumzike. Ni sabato ya Bwana, Mungu wako(Muumbaji) siku hiyo usifanye Kazi yoyote.

Ndio maana nikakuambia, hayo mambo ya Imani hasa ambayo huna uelewa nayo ni Bora uyaache. Serikali yenyewe ndio ihusike.

Wewe Wasabato wakisikilizwa na serikali kuna sehemu yoyote unapata hasara?
 
Reactions: Cyb
Mm naona nyie Wasabato kutokwenda kwenye usaili n furaha kwa hao watakaokwenda mana itapunguza ushindani
 

Naam Mkuu
 
Sasa si wasiende au ni lazima kwenda?
 
Tutumie common sense.
Hujatumia common sense, kama ungetumia hizo siku plus kalenda ni utashi wa watu na siyo Mungu.Onyesha sehemu yoyote Mungu anataja majina ya siku.
 
Mwingine akisema siku yake ya ibada n J3, mwngn akisema siku yake n J5, itakuwaje?
Vijana bhana,,,MTU analeta hoja yenye uhalisia wew unaleta blah blah,, na assumption mara mwingine Etc,, ambaye hayupo na hawez kuwepo
 
Mm naona nyie Wasabato kutokwenda kwenye usaili n furaha kwa hao watakaokwenda mana itapunguza ushindani

Kiserikali unafikiri imekaa Sawa kama wewe ni mtawala?

Achana na hawa Raia wa kawaida ambao hata kuwa Monitor wa Darasa hawakuwahi wana Haki ya kutoelewa nini kinazungumzwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…