Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
- #61
Sasa wa nini hao! Si bora waajiliane wao kwa wao?
Waajiriane
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa wa nini hao! Si bora waajiliane wao kwa wao?
Ni Dk. Bernadine (siyo Bernidine) Mfumbusa Mhadhiri wangu aliyepika vyema katika Somo lake nililolipenda la Critical Thinking / Logical Reasoning mwaka 2009 pale SAUT Mwanza na namkubali hakuna Mfano kwani ana Akili (ni Genius) hadi anakera.Hawa Wasabato waliwahi kuwa deregisterd pale SAUT kipindi cha VC Father Dk. Kitima na DVCA (Sasa Baba Askofu) Dk. Bernidine Mfumbusa walipokataa kufanya mitihani yao ya UE siku ya Jumamosi!
Sijaona wakilalamika kama ninyi mnaojifanya so special.
Sioni wakilalamika kama hao wengine wanaojiona special group.Wanaoabudu Ijumaa, Jumapili, Jumatatu
Ukiambiwa ulete rejea utatoa?
Embu chukua Biblia au Quran, alafu urejelee maoni yako.
Wasabato na Wayahudi jumamosi au Sabato dini Yao inawakataza kufanya Kazi.
Ni dini gani nyingine inakataza Jambo hilo.
Waislam wao Sheria Zao zipo bayana.
Wapo humu watajieleza.
Wewe dini inayosali inakuambia siku unayosali usifanye Kazi yoyote?
Uje na rejea
.Sioni wakilalamika kama hao wengine wanaojiona special group.
Kalenda halisijumamosi ni siku ya saba kwa kutumia kalenda ya aina gani?
Mbona siku ya Christmas au Maulid, au Idi, au pasaka ni holiday?
Makambi ni sikukuu kubwa kwa Wasabato.
Ni lazima kusherehekea sio Ombi.
IPO kwenye Biblia.
Watwa'uut😁Wagalatia mna deka sana
Mwingine akisema siku yake ya ibada n J3, mwngn akisema siku yake n J5, itakuwaje?Kwa imani yao wako sawa , serikali yangu pendwa isikilize madai yao kwani kila mtu yuko sahihi kwa anachokiamini.
Wote ni watanzania basi wasikilizwe .
Ndo maana huna kampuni,, sidhani pia Kuna msabato pure anaweza kuacha kusali kisa hizi ajira ambazo pia chance ya kupata 0.1Mungu anisamehe. Kama ningelikuwa na kampuni yangu binafsi na naweza kuajiri watu mmoja,wawili na kuendelea, siwezi kuajiri Msabato! Very stubborn!
Hio hio biblia inasema asiyefanya kazi na asile 2 Wathesalonike 3:10-13
Biblia mnayotumia wasabato ni hii hii wanayotumia wakristo wengine hakuna tofauti. Kama mnaifata fateni yote bila kutaka kulazimisha wengine waifate kimafungu mafungu. Wayahudi sio wakristo hivyo wana tamaduni zao ambazo wasabato mmeiga ila hamuelewi mlichoiga
Ni kweli ni kuwakosesha haki ya kuikumbuka na kustarehe siku ya Sabato, lakini je wanaoenda kusailiwa ambao pia ni waumini wa kiadventista wanamsimamo gani wao kama wao, watakubali kushiriki usaili au wataugomea na kudai wapewe siku nyingineyo kufanya usaili.
Kama waumini wenyewe hawana msimamo wa kutetea haki yao, serikali haitapata msukumo wa kuwapa hio haki wanayostahili, kuna viongozi wa TUCASA na ministries za kiSDA wamefanya nini kushughulikia hili. Wamedai haki hio hawajasikilizwa?
Sabato iwe njema sana kwenu nyote, isiwe tu kusali ili kutimiza kwamba tumesali bali iwe ni baraka na wakati wa kukumbuka mema yote na uumbaji wetu uliotukuka.
Hujatumia common sense, kama ungetumia hizo siku plus kalenda ni utashi wa watu na siyo Mungu.Onyesha sehemu yoyote Mungu anataja majina ya siku.Tutumie common sense.
Vijana bhana,,,MTU analeta hoja yenye uhalisia wew unaleta blah blah,, na assumption mara mwingine Etc,, ambaye hayupo na hawez kuwepoMwingine akisema siku yake ya ibada n J3, mwngn akisema siku yake n J5, itakuwaje?
Mm naona nyie Wasabato kutokwenda kwenye usaili n furaha kwa hao watakaokwenda mana itapunguza ushindani