enzo1988
JF-Expert Member
- May 26, 2018
- 1,838
- 7,346
Basi wewe ni:Anaitwa mkosakazi.
chizi
mtu mwenye wazimu au mwenye akili kidogo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi wewe ni:Anaitwa mkosakazi.
Tunaua mmoja ili kuokoa wengi.Unataka kuhalalisha au kuharamisha nini?
Ahsante kwa masahihisho. Ila wanafunzi wake wa Masters in Mass Communication wanakumbuka alivyotolewa "knockout" siku moja na mwanafunzi wake genius kuliko yeye akiitwa Lubango! Aliichambua "Thesis ya Doctorate" ya Dk. Mfumbusa na mapungufu yake ikaonekana kama gazeti la Kitu tu! Ahahahahaha!!!Ni Dk. Bernadine (siyo Bernidine) Mfumbusa Mhadhiri wangu aliyepika vyema katika Somo lake nililolipenda la Critical Thinking / Logical Reasoning mwaka 2009 pale SAUT Mwanza na namkubali hakuna Mfano kwani ana Akili (ni Genius) hadi anakera.

Kwani kuna sehemu serikali imekukataza kuabudu siku yako ya sala?Huelewi unachokizungumza.
Unajua Moja ya chanzo cha baadhi ya Makundi dini kutaka kuanzisha nchi Zao ni pamoja na Hoja uliyoieleza?
Unafikiri serikali inapotoa Uhuru wa kuabudu ni wajinga?
Waliotunga hayo mambo walikuwa mbele yako maili elfu
Acha upumbavu mkuu hizi dini tulizaliwa tukazikuta embu tuwe na kiasi na tuache ubinafsi. Ninyi mkilalamika hivyo je vipi wenzenu wanao swali na kuabudu jumapili na ijumaa?.
Wasabato always mnakuwaga na matatizo sana. Huwa mnahisi kuwa nyinyi ni wajuzi sana wa mambo lakini kumbe wengi wenu mnaendeshwa na mihemko tu. Hopeless.
Haya!Ndo maana huna kampuni,, sidhani pia Kuna msabato pure anaweza kuacha kusali kisa hizi ajira ambazo pia chance ya kupata 0.1
Serikali haina dini
Tulikuwa na mwenzenu kwenye kazi moja hivi....siku ya Jumamosi halikiwa hataki kufanya kazi lakini ikitangazwa Jumamosi ni siku ya malipo...saa Tatu alikuwa maeishafika kwenye kituo cha malipo....!!!Na hatutaki kuamini kuwa....
ndiyo maana hii nchi bado ni maskiniSerikali kuweka siku ya jumamosi kuwa siku ya Usaili ni kuwakosea HAKI Wahitimu waumini wa kisabato.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Sabato Njema. (itikia Njema Sana).
Wahitimu wa kisabato wanasikitika baada ya baadhi Yao kukosa kwenda kwenye Usaili kutokana na siku iliyowekwa kwaajili ya Usaili ni siku ya ibada. Sikukuu ya Mungu wao wanaomuamini.
Ikumbukwe kuwa Sabato kwa waumini wa kisabato ni Moja ya amri kubwa na kuu wanaamini wameagizwa kuifuata na Mungu wao wakirejelea Torati ya Musa katika Biblia, katika Kutoka 20:8-11
Tunafahamu kuwa serikali huenda ilifanya kwa bahati mbaya kwa kusahaukundi hili la Wasabato. Na hatutaki kuamini kuwa imefanywa makusudi bila kujali au kwa kudharau Wasabato kwa Sababu zozote zile.
Wasabato sio Watu wakujihusisha na mambo ya siasa na kiserikali na hii huenda ni Moja ya sababu ya wao kusahaulika hata kwa mambo muhimu kama ya Ajira.
Mimi Kama Taikon Master, ambaye ni Msabato. Baada ya kupewa taarifa hiyo kwa kweli nilisikitika Sana. Nikaona kuinyamazia inaweza kujirudia na kuwafanya Wananchi wa Kitanzania, wanaoabudu katika dhehebu la Wasabato wanaweza kukosa Haki Yao kwa wakati Mwingine.
Serikali kupitia Wizara husika, ifuatilie Jambo hilo na kulifanyia marekebisho.
Taikon Acha nipumzike sasa.
Kesho tukutane, KANISA LA MWENGE SDA, DAR ES SALAAM.
SABATO NJEMA
Kama ungekuwa unatumia Logical ya kawaida ungeelewa kuwa kuweka Siku ya usaili katika siku ya ibada ungeona ni kumkataza mtu indirectly asiende kuabudu. Ni vile hujataka kuifikirisha akili yako.Kwani kuna sehemu serikali imekukataza kuabudu siku yako ya sala?
Bado unasema serikali haijazuia mtu kuabudu? Unatumia akili yako sawasawaSerikali imeweka siku ya usaili ni jumamosi, Kama mtu ataona ibada ni muhimu kuliko usaili. Aende ibadani.
Serikali haiwezi kuacha kufanya mambo yake kwa kigezo cha dini za watu.
Tanzania ni secular state.
Tulikuwa na mwenzenu kwenye kazi moja hivi....siku ya Jumamosi halikiwa hataki kufanya kazi lakini ikitangazwa Jumamosi ni siku ya malipo...saa Tatu alikuwa maeishafika kwenye kituo cha malipo....!!!
ndiyo maana hii nchi bado ni maskini
Tunaua mmoja ili kuokoa wengi.
Father Dk. Kitima sasa hivi Katibu wa TEC (sijui unaijua?)? Na Dk. Mfumbusa sasa hivi ni Askofu wa Jimbo la Kondoa. Wamepata zaidi ya kile walichokuwa nacho kipindi wanawashughulikia hao Wasabato.Sidhani kama ni fahari kutamba kuwaumiza watu wa Imani nyingine kwa sababu tu wamesimamia misingi ya Imani yao,, na umewataja kabisa waliohusika kuwasitishia masomo. Huyo Padri alipata faida gani. Serikali inatakiwa kulizingatia hili.
Acha kuisumbua serikali, serikali haina dini.
Jumapili ndio inatakiwa kuwa siku ya mapumziko na kutumia muda huo wa Jumapili kuyatafakari matendo ya Mungu.
Ijumaa na Jumamosi ni siku za kazi kama ilivyo Jumatatu au Jumanne.
Mtoto wa Shule ninayejua mambo makubwa kukuzidi wewe mkubwa. Mimi ni genius!Huwezi kuwa na kampuni yako binafsi kwaajili wewe bado mtoto wa shule!
[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]Serikali kuweka siku ya jumamosi kuwa siku ya Usaili ni kuwakosea HAKI Wahitimu waumini wa kisabato.