Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
- #21
Ahsante Sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
jumamosi ni siku ya saba kwa kutumia kalenda ya aina gani?
Tutumie common sense. Unatumia Gregorian kalenda bila shaka. Siku ya kwanza ni ipi?
Si Jumapili?
Yaani ikiwezekana usahili usiwepo kabisa maana kila siku ni siku ya ibada ya dini fulani. Budha, hindu, Muslim, christians etcs kila mtu ana siku yake tofauti ya ibada
Hiyo siyo shida ya Serikali, waumini inabidi wachague kwenda kusali au kwenda kwenye usaili, hakuna mtu anaelazimishwa kuhudhuria usaili.
Sijaulizwa mimi hili swali, ila nimemuuliza ChatGPT anipatie maana ya neno sabato akasema ifuatavyo.Samahani,naomba ushahidi kuwa Jumamosi ni siku ya saba na ni siku ya sabato.Jibu ukitumia 'common sense' plus fikra tunduizi.Zingatia neno Jumamosi
Vipi wale wanaobadu Ijumaa, Jumapili,Jumatatu n.k?? Punguza ubinafsi na kujiona ninyi ni so special!
Mbona ijumaa shughuli huwa zinaendelea kama kawaida na waislam hawajalalamika
Na waislam wakisema ijumaa iwe mapumziko hii nchi itaendelea? Punguzeni upuuzi
Sijaulizwa mimi hili swali, ila nimemuuliza ChatGPT anipatie maana ya neno sabato akasema ifuatavyo.
View attachment 3236575
Nikabaki nashangaa sana kwamba hadi akili mnemba inajua neno sabato ni lugha ya kilatini (kwa warumi) ila mimi binadamu hata sikuwa najua hilo neno si la kiswahili bali la lugha ya wenyewe waroma.
Now you know
Sio tuu msabato, Bali Mtibeli
Luka 13:15
Hapo Bwana akamjibu, “Enyi wanafiki! Nani kati yenu hangemfungua ng'ombe wake au punda wake kutoka zizini ampeleke kunywa maji, hata kama siku hiyo ni ya Sabato?
Sheria za kiislam zipo na zinafahamika.
Muongozo wao unasemaje?
Quran inasemaje?
Walalamike kwa kitu ambacho kwao sio IBADA?
Imebidi nitafute maana ya mtibeli
Wamenijibu hivi "Mtibeli ni neno linalotumika kuonyesha hali ya mtu kuwa na maumivu au usumbufu katika sehemu fulani ya mwili, hasa maumivu ya tumbo au sehemu nyingine ya ndani. Inaweza pia kumaanisha hali ya mtu kuwa na matatizo ya kifafa au kuathirika na ugonjwa fulani. Mtu anayeumwa au ambaye anashindwa kujihisi vizuri kutokana na matatizo haya anaweza kusema ana mtibeli."
Si ndo hapo.Mbona ijumaa shughuli huwa zinaendelea kama kawaida na waislam hawajalalamika
Enyi mlioamini! Inapoitwa Sala siku ya Ijumaa, nendeni upesi kumdhukuru Mwenyezi Mungu, na acheni biashara. Hayo ni bora kwenu ikiwa mnajua."Sheria za kiislam zipo na zinafahamika.
Muongozo wao unasemaje?
Quran inasemaje?
Walalamike kwa kitu ambacho kwao sio IBADA?