Serikali kuweka siku ya jumamosi kuwa siku ya Usaili ni kuwakosea Haki Wahitimu waumini wa kisabato

Serikali kuweka siku ya jumamosi kuwa siku ya Usaili ni kuwakosea Haki Wahitimu waumini wa kisabato

Yaani ikiwezekana usahili usiwepo kabisa maana kila siku ni siku ya ibada ya dini fulani. Budha, hindu, Muslim, christians etcs kila mtu ana siku yake tofauti ya ibada

Sheria za Uislam zinazungumzia nini kuhusu siku ya ibada?
Buddha?
Hindu
Wakristo hawanaga siku ya Sabato na hawaifuati.
Siku Yao ya IBADA ni Jumapili lakini hawakatazwi kutokufanya Kazi
 
Samahani,naomba ushahidi kuwa Jumamosi ni siku ya saba na ni siku ya sabato.Jibu ukitumia 'common sense' plus fikra tunduizi.Zingatia neno Jumamosi

Vipi wale wanaobadu Ijumaa, Jumapili,Jumatatu n.k?? Punguza ubinafsi na kujiona ninyi ni so special!
Sijaulizwa mimi hili swali, ila nimemuuliza ChatGPT anipatie maana ya neno sabato akasema ifuatavyo.

Screenshot_2025-02-14-21-21-11-22.png

Nikabaki nashangaa sana kwamba hadi akili mnemba inajua neno sabato ni lugha ya kilatini (kwa warumi) ila mimi binadamu hata sikuwa najua hilo neno si la kiswahili bali la lugha ya wenyewe waroma.
 
Na waislam wakisema ijumaa iwe mapumziko hii nchi itaendelea? Punguzeni upuuzi

Wataambiwa walete Maandiko kutoka kwenye Kitabu chao.
Wakitoa Hilo andiko au Sheria inayowaamrisha hivyo watakuwa na Hoja ya MSINGI.
 
Luka 13:15

Hapo Bwana akamjibu, “Enyi wanafiki! Nani kati yenu hangemfungua ng'ombe wake au punda wake kutoka zizini ampeleke kunywa maji, hata kama siku hiyo ni ya Sabato?
 
Sijaulizwa mimi hili swali, ila nimemuuliza ChatGPT anipatie maana ya neno sabato akasema ifuatavyo.

View attachment 3236575
Nikabaki nashangaa sana kwamba hadi akili mnemba inajua neno sabato ni lugha ya kilatini (kwa warumi) ila mimi binadamu hata sikuwa najua hilo neno si la kiswahili bali la lugha ya wenyewe waroma.

Unapoteza Muda kumuelewesha mtu ambaye anaelewa lakini amechagua kutoelewa
 
Now you know

Sio tuu msabato, Bali Mtibeli

Imebidi nitafute maana ya mtibeli

Wamenijibu hivi "Mtibeli ni neno linalotumika kuonyesha hali ya mtu kuwa na maumivu au usumbufu katika sehemu fulani ya mwili, hasa maumivu ya tumbo au sehemu nyingine ya ndani. Inaweza pia kumaanisha hali ya mtu kuwa na matatizo ya kifafa au kuathirika na ugonjwa fulani. Mtu anayeumwa au ambaye anashindwa kujihisi vizuri kutokana na matatizo haya anaweza kusema ana mtibeli."
 
Luka 13:15

Hapo Bwana akamjibu, “Enyi wanafiki! Nani kati yenu hangemfungua ng'ombe wake au punda wake kutoka zizini ampeleke kunywa maji, hata kama siku hiyo ni ya Sabato?

Unataka kusema Usaili ni accident?

Ndio maana waislamu wanadharau Wakristo kwa sababu Wakristo wengi wakisoma maandiko hawatumii akili ya kawaida tuu.
 
Mwongozo wao unawataka wakaswali mida wa swala lakini wengine wanakua kwenye majukumu wanashindwa. Wasabato punguzeni kujidekeza utadhani mbingu mmeandikiwa nyie tu kumbe hellen na kikundi chake ndo watunga sheria zote hizo
Sheria za kiislam zipo na zinafahamika.

Muongozo wao unasemaje?
Quran inasemaje?

Walalamike kwa kitu ambacho kwao sio IBADA?
 
Chagua moja sabato/kusali au kazi, kama sabato niya muhimu siikupe kazi na ujinga wenu Waafrikana mtakula sabato!(
 
Imebidi nitafute maana ya mtibeli

Wamenijibu hivi "Mtibeli ni neno linalotumika kuonyesha hali ya mtu kuwa na maumivu au usumbufu katika sehemu fulani ya mwili, hasa maumivu ya tumbo au sehemu nyingine ya ndani. Inaweza pia kumaanisha hali ya mtu kuwa na matatizo ya kifafa au kuathirika na ugonjwa fulani. Mtu anayeumwa au ambaye anashindwa kujihisi vizuri kutokana na matatizo haya anaweza kusema ana mtibeli."

😂😂

Ametisha.
 
Sheria za kiislam zipo na zinafahamika.

Muongozo wao unasemaje?
Quran inasemaje?

Walalamike kwa kitu ambacho kwao sio IBADA?
Enyi mlioamini! Inapoitwa Sala siku ya Ijumaa, nendeni upesi kumdhukuru Mwenyezi Mungu, na acheni biashara. Hayo ni bora kwenu ikiwa mnajua."
(Qur'an, 62:9)
 
Back
Top Bottom