Serikali kwanini inaficha picha za Katesh, Hanang?

Serikali kwanini inaficha picha za Katesh, Hanang?

Volcanic eruption iliyo trigger landslide kutokana na ardhi kuwa nyororo kufuatia mvua kubwa na labda overflow of magma......this sounds logical.
Ndio tulikuwa tunaomba picha za mlima hanang Kwa ajili ya kumbukumbu za kielimu
 
Nilikuwa nafikiri kitu hicho pia!

Akina Ayo wameshindwaje kurusha drones zao tukapata aerial view ya huo mlima upande ulioporomoka?

Lazima hao baka wamepiga mkwara!
Kuna nchi wanataka kutoa msaada SEMA wanashindwa kuwaelewa viongozi 🇹🇿 Wana Akili Gani.

Maana habari zinafichwa, Hata hazina ukweli halisia
 
Back
Top Bottom