Serikali: Makala ya BBC haina ushahidi. Tutachukua hatua kulinda uhuru, heshima na usalama wa nchi

Mtu timamu Akivuliwa nguo Huchutama...

Punguani huanza kumkimbiza aliemvua nguo!

Mara nyingi ukichagua kukaa kimya...unazuia watu wasigundue UPUMBAVU ULIO NAO!

Pumbav kabisa Msigwa!
Wala sio pumbavu kwani hivyo ndio hufanya Serikali zote duniani,zonapokabiliwa na suala kama hilo,acha tuone kama wana weza kuipeleka bbc mahakamani
 

..nilidhani Serikali inazungumzia documentary tofauti na hii uliyotutumia.

..hii documentary nilishaiangalia na inamhusu zaidi Tundu Lissu kuliko serikali.

..sidhani kama serikali ina jambo lolote la msingi la kukanusha katika documentary hiyo.

..kinachoendelea sasa hivi serikalini ni kitu kinaitwa" kiwewe cha waovu. "

..Siku hizi serikali ina tabia ya kuhisi imesemwa vibaya hata katika mazingira ambapo haikusemwa.
 
BBC tuifungie Tu isirushe matangazoTz
 
Tutachukua hatua kulinda uhuru, heshima na usalama wa nchi
Heshima gani??
Hivi hiyo Tz iliyogeuzwa na Wahuni kuwa Shithole kamili bado ina heshima??

Watawala wanaofanya uonevu kwa wananchi wake, wizi wa uchaguzi, ufisadi, utekaji, ufiraji, mauaji ya wananchi, nk, wanaweza kuwa na heshima ipi?!
 
Sababu ni Zile Zile Tu.
Kenge hadi Umpasue Masikio ndio akusikie.

1. Utekaji.
2. Mauaji ya kutisha na Mauaji ya Maelfu ya watu ( October 29.)
3. Kupotezwa kwa Watu..
4. Uhuru wa vyombo vya habari.
5. Uhuru wa kutoa maoni.
6. Kubambikia kesi za uongo akina Lissu, Mboye, Bony, Malisa CHADEMA NK
7. Uhuru wa kuabudu.
___________
8. Rushwa.
9. Ufisadi.
10. Ukiukwaji wa Haki za Binadamu.
 
Hii mbaya sana
 
Just curious to learn! Ni maelezo gani ya ukweli ,uwazi na yanayoweza kukubalika na uma wa Watanzania ambayo serikali ingeyatoa ili ku-balance
 
BBC iliombwa na Serikali iwahoji kwa wakati mmoja Waziri wa mambo ya ndani, spika na waziri wa ulinzi lakini walikataa.

Hiki ni kipeperushi tu cha mabeberu kipuuzwe.
Si kupuuzwa tu, serikali iwashikishe adabu BBC kwa kuwaburuza mahakamani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…