Chikumba one
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 1,009
- 1,642
VITA IMEANZA RASMICOVID -19 ana sifa kubwa moja tu ya kumalizia !!
Mgonjwa wa kwanza wa Corona alikuwa Isabela and we were told that she recovered and would have been discharged soon, sasa huyo wa kwanza ni nani?
Sent using Jamii Forums mobile app
kabla ya Corona alikuwa na ugonjwa upi? lazima tulijue hilo maana corona yeye ni sombasomba hasa kwa wale wadhaifu anamalizia tu.
Balaa linaanza!
Hata kuosha mikono wengine wanapuuzia!soon or later, wachina wataitawala dunia......bado serikali haijawa serious....takwimu sahihi hatupewi,,, wananchi wanajiachia kama kawa.......just ''KUOSHA MIKONO'' pekee haitotufikisha
ni kweli kaka, sasa tupo kwenye uwanja wa mapambano - potea maboya umeondoka!! laaahCOVID 19 ,
VITA IMEANZA RASMI
Mloganzila bado Inafanya vizuri kwenye headlines za vifo bila kujali ugonjwa
Jr[emoji769]
Mimi Niko hapa tangu asubuhi sijatibiwa mara nipande lift mara nishuke mpaka nimejuta kuja huku .Ni Mloganzila. Mloganzila tena. Ni wagonjwa wote wa Corona wako Mloganzila?
COVID -19 ana sifa kubwa moja tu ya kumalizia !!
MwanaFA hajafikisha miaka 49.Mwana FA vipi anaonekana Instagram?