Kumbe alikuwa anasumbuliwa na maradhi mengine..........kabla ya COVID-19.
Mgonjwa wa kwanza wa Corona alikuwa Isabela and we were told that she recovered and would have been discharged soon, sasa huyo wa kwanza ni nani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeshaifuta.AsanteUsikariri...... mzee Hashim alifariki kitambo!
Corona ipo,lakini ukiugua na kulazimika kuwekwa ICU.Bila Ventilator maisha ya mgonjwa yapo hatarini.Kumbe korona ipo.....
soon, tujiandae kwa lockdown huyo jamaa ni High profile legion club member......CEO's club....(mens club)....jaribu kutafakari network yake ilivyo...........Hivi tunasubiri nini kufunga safari zote za mikoani ili kuwanusuru mikoa ambayo bado haijapata maambukizi...?
Wewe una uhakika hauna Maradhi yoyote hapo ulipo?Poleni Watanzania, ila inatia moyo kujua alikua anaumwa maradhi mengine, Corona kwa Waafrika bado haijamchukua mtu aliyekua mzima, nimefuatilia habari za kila kifo..
dogo unakurupuka Kama una mkojo wa asubuhi,unafatilia takwimu za vifo kuhusu huu ugonjwa?je unajua Ni vijana wangapi wametibiwa na kupona na kuendelea na mishe zao?je unajua kwa nini mapadri wengi wamekufa kule Italy?usikurupuke tuuKwani ulaya hawafi wakiwa na maradhi mengine?? Hivi hizo elimu mnasomea Ujinga
Sent using Jamii Forums mobile app
DSM Wilaya ya UBUNGOpwani
Mimi Niko hapa tangu asubuhi sijatibiwa mara nipande lift mara nishuke mpaka nimejuta kuja huku .
Ningekuwa vibaya ningeshafariki muda.
Kwa utafiti kidogo .
Kairuki, Regency na hospital nyingi za dini zitazidi kuwa juu Kwa huduma
Ila hospital ina muonekano mzr Kwa nje na ndani na mazingira ila huduma zake niseme ukweli ni mbovu mno
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanzo na mimi nilikuwa na mawazo kama yako na kudhani pia wanaokufa ni wazee tu. Huku nilipo sasa hivi haichagui. Wanakufa mamia kila siku na haichagui, umri au una magonjwa mengine.Tunaisingizia Corona,,!
Corona haiwezi kuua bila kupata msaada wa Ugonjwa mwingine..
My Take:Tujihadhari na kufanya Jitihada za wazi kuepuka maambukizi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unataka ujue jina lakiMgonjwa wa kwanza wa Corona alikuwa Isabela and we were told that she recovered and would have been discharged soon, sasa huyo wa kwanza ni nani?
Sent using Jamii Forums mobile app