Serikali, mikataba ya DP World haikuwa na ulazima wowote kuitangaza. Msirudie hili kosa kabisa nchi yetu bado ni ya wapiga makelele…

Kwaiyo Mkuu mpaka Leo hujui kabisa Kuwa ni haki ya Kila mtanzania kujua mienendo ya nchi yake,, na pia katiba inaruhusu kabisa Kuwa ni lazma Raia wajue nchi inavyo endeshwa mikataba kama hiyo kuwekwa wazi.

Itakuwa una shida wewe
 
Wameshindwa kukuelewa wamebaki kukutusi,
Hawapendi waarabu bwashee wanataka wazungu
 
Kwani mikataba ya DP World tayari ineshatangazwa?
 
Nilivoona umeandika "umaalufu" nikajua ni kilaza tu hakuna haja ya kumuelimisha kuhusu transparency.
 
Tumekosea kuruhusu mkataba huu ujadiliwe na watu wenye milengo ya kisiasa
 
Kwa hiyo kwako sababu ya msingi ya kuficha mikataba ni kutotaka isiwe inajadiliwa iwe inaenda tu kwenye utekelezaji?
Tena ni wawafunge hiyo midomo yenu ilikosa mipaka naakutukana hovyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…