Serikali, mikataba ya DP World haikuwa na ulazima wowote kuitangaza. Msirudie hili kosa kabisa nchi yetu bado ni ya wapiga makelele…

Serikali, mikataba ya DP World haikuwa na ulazima wowote kuitangaza. Msirudie hili kosa kabisa nchi yetu bado ni ya wapiga makelele…

Kwaiyo Mkuu mpaka Leo hujui kabisa Kuwa ni haki ya Kila mtanzania kujua mienendo ya nchi yake,, na pia katiba inaruhusu kabisa Kuwa ni lazma Raia wajue nchi inavyo endeshwa mikataba kama hiyo kuwekwa wazi.

Itakuwa una shida wewe
 
Wameshindwa kukuelewa wamebaki kukutusi,
Hawapendi waarabu bwashee wanataka wazungu
 
Mimi sioni sababu ya kila mkataba wa kimaendeleo au ubinafsiahaji kuuweka hadharani ,ninani anavujisha hii mikataba ? Sisi tuna watu wa hovyo wanaotafuta umaalufu kwa Kila kitu ..tusirudie kuleta taharuki ,kama hii dp world mngemaliza kimya kimya hakukuwa na sababu ya kuweka wazi ,hata sisi tusioelewa kitu tunavimba nao mitaani..dp world imekuwa ndio story ya kudanganya hata wake zetu majumbani ...watu wanaenda mbali na kudai nchi imeuzwa ,,mtu anaposema serikali imeuza nchi kwa Nini asikamatwe alete ushahidi wa nchi iliyouzwa?
Kwani mikataba ya DP World tayari ineshatangazwa?
 
Nilivoona umeandika "umaalufu" nikajua ni kilaza tu hakuna haja ya kumuelimisha kuhusu transparency.
 
Akili yako kisoda!
Serikali inaposhindwa kwenye kesi ( disputes) kwenye mikataba ya hovyo ya Siri huko Duniani mbona huwa Dunia ututangazia!

Nchi hii imekwama kwa kuwa na watu wengi wenye akili ndogo kama wewe, yule mwenyekiti wa CCM nyamagana anayetaka Waarabu waje haraka wachanganye damu na yule Mama Mwenezi wa CCM Taifa anayeuliza maswali ya kipumbavu kama vile mbona Bandari haijawekwa kwenye kiroba kama imeuzwa!
Tumekosea kuruhusu mkataba huu ujadiliwe na watu wenye milengo ya kisiasa
 
Back
Top Bottom