Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaweza jisemea vibaya?Sina mura
Kila comments upinde anaboaKabisa huyu jamaa hanaga hoja zaidi huu ujinga atakuwa nchele nchele huyu
Tena ng'ombe yakisukuma yenye mapembe marefuWe we ni Ng'ombe
HakikaAu sio
Kwani mikataba ya DP World tayari ineshatangazwa?Mimi sioni sababu ya kila mkataba wa kimaendeleo au ubinafsiahaji kuuweka hadharani ,ninani anavujisha hii mikataba ? Sisi tuna watu wa hovyo wanaotafuta umaalufu kwa Kila kitu ..tusirudie kuleta taharuki ,kama hii dp world mngemaliza kimya kimya hakukuwa na sababu ya kuweka wazi ,hata sisi tusioelewa kitu tunavimba nao mitaani..dp world imekuwa ndio story ya kudanganya hata wake zetu majumbani ...watu wanaenda mbali na kudai nchi imeuzwa ,,mtu anaposema serikali imeuza nchi kwa Nini asikamatwe alete ushahidi wa nchi iliyouzwa?
Kwa hiyo kwako sababu ya msingi ya kuficha mikataba ni kutotaka isiwe inajadiliwa iwe inaenda tu kwenye utekelezaji?Hakuna taharuki kama hii
Nilivoona umeandika "umaalufu" nikajua ni kilaza tu hakuna haja ya kumuelimisha kuhusu transparency.Mimi sioni sababu ya kila mkataba wa kimaendeleo au ubinafsiahaji kuuweka hadharani ,ninani anavujisha hii mikataba ? Sisi tuna watu wa hovyo wanaotafuta umaalufu kwa Kila kitu ..tusirudie kuleta taharuki ,kama hii dp world mngemaliza kimya kimya hakukuwa na sababu ya kuweka wazi ,hata sisi tusioelewa kitu tunavimba nao mitaani..dp world imekuwa ndio story ya kudanganya hata wake zetu majumbani ...watu wanaenda mbali na kudai nchi imeuzwa ,,mtu anaposema serikali imeuza nchi kwa Nini asikamatwe alete ushahidi wa nchi iliyouzwa?
Tumekosea kuruhusu mkataba huu ujadiliwe na watu wenye milengo ya kisiasaAkili yako kisoda!
Serikali inaposhindwa kwenye kesi ( disputes) kwenye mikataba ya hovyo ya Siri huko Duniani mbona huwa Dunia ututangazia!
Nchi hii imekwama kwa kuwa na watu wengi wenye akili ndogo kama wewe, yule mwenyekiti wa CCM nyamagana anayetaka Waarabu waje haraka wachanganye damu na yule Mama Mwenezi wa CCM Taifa anayeuliza maswali ya kipumbavu kama vile mbona Bandari haijawekwa kwenye kiroba kama imeuzwa!
Tena ni wawafunge hiyo midomo yenu ilikosa mipaka naakutukana hovyoKwa hiyo kwako sababu ya msingi ya kuficha mikataba ni kutotaka isiwe inajadiliwa iwe inaenda tu kwenye utekelezaji?
Vipi posho yako washakupaTena ni wawafunge hiyo midomo yenu ilikosa mipaka naakutukana hovyo
Kwani ule mlioupeleka Bungen mmesaini na nan? Si na DP World!Kwani mikataba ya DP World tayari ineshatangazwa?
Tena ndio wamepata hojaItajadiliwa kwenye vikao mahsusi sio kuwapa mbuzi mkataba wameugeuza shere