Kwani mbiwe sio gaidi? Mahakama ilimkuta na kesi ya kujibuMuhimu wafanye kazi zao kiweledi wasiingize siasa ndani yake, hata Mbowe nae alituhumiwa kwa ugaidi.
Kwasababu imekwisha bainikiwa Ugaidi upo jirani na waislam nashauri ikusanye Taarifa za kila muislam nchini na kuzichakata kwa kuwacategorize ili iwe wepesi kucounter matukio ya kigaidi, #information is power - huko duniani ndivyo wanafanya huko Kwa wenzetu mabeberuWaziri wa Mambo ya Ndani Eng. Masauni Yusuph Masauni ameitaja mikoa hiyo kuwa imekuwa na matukio ya kukamatwa kwa watuhumiwa waliokimbia baada ya kufanya vitendo vya ugaidi katika nchi jirani.
Pia, kuna dalili ya kuenea kwa itikadi za msimamo mkali zinazopelekea watu kuhamasika na kujiunga na vikundi vya kigaidi nje ya nchi hali inayoweza kusababisha vitendo vya kigaidi nchini.
Leo Septemba 19, 2022 Bunge limeridhia na kupitisha Itifaki ya mkataba wa Umoja wa Nchi Huru za Afrika wa Kuzuia na Kupambana na Ugaidi wa Mwaka 2004, mkataba huo umecheleweshwa kutekelezwa nchini kwa miaka 18.
Ishu sio ugaidi hapo... Jambo linalotafutwa hapo ni namna ya kuweza kuteka rasilimali muhimu zilizopo kwenye hiyo mikoa ikiwemo madini... toka kiongozi wa awamu ya sita ameingia madarakani kuna sehemu nyingi za nchi zimetoboka maadui wanaingia na kuhatarisha usalama wa Taifa. Be aware na wanasiasa wafuatao;Waziri wa Mambo ya Ndani Eng. Masauni Yusuph Masauni ameitaja mikoa hiyo kuwa imekuwa na matukio ya kukamatwa kwa watuhumiwa waliokimbia baada ya kufanya vitendo vya ugaidi katika nchi jirani.
Pia, kuna dalili ya kuenea kwa itikadi za msimamo mkali zinazopelekea watu kuhamasika na kujiunga na vikundi vya kigaidi nje ya nchi hali inayoweza kusababisha vitendo vya kigaidi nchini.
Leo Septemba 19, 2022 Bunge limeridhia na kupitisha Itifaki ya mkataba wa Umoja wa Nchi Huru za Afrika wa Kuzuia na Kupambana na Ugaidi wa Mwaka 2004, mkataba huo umecheleweshwa kutekelezwa nchini kwa miaka 18.
Mbona ilimwachia???Wewe ccm mbumbumbu bado unaamini kuwa Mbowe ni gaidi?Kwani mbiwe sio gaidi? Mahakama ilimkuta na kesi ya kujibu
mkuu utofauti wa vyama usikufanye usahau ubinadamKwani mbiwe sio gaidi? Mahakama ilimkuta na kesi ya kujibu
Nilitaka kuuliza sio Mbowe tena? inatia moyo kama wamegundua mapema na kuchukua hatua.Muhimu wafanye kazi zao kiweledi wasiingize siasa ndani yake, hata Mbowe nae alituhumiwa kwa ugaidi.
Kumwachia na kumkuta na hatia ni vitu tofauti. Kaachiwa kwa kuonewa huruma Ila kweli ni gaidi.Mbona ilimwachia???Wewe ccm mbumbumbu bado unaamini kuwa Mbowe ni gaidi?
Ubinadamu unaingiaje hapo? Mimi ndio mahakama niliyemkuta na hatia mbowe?mkuu utofauti wa vyama usikufanye usahau ubinadam
Mbiwe ndio Nani dada??Kwani mbiwe sio gaidi? Mahakama ilimkuta na kesi ya kujibu
Aliyemwachia kwa huruma hana akili maana anaharibu muda na pesa ambazo zingesaidia kwenye mambo ya msingi.Kumwachia na kumkuta na hatia ni vitu tofauti. Kaachiwa kwa kuonewa huruma Ila kweli ni gaidi.
Hata wabakaji, wauaji, na magaidi wamewahi kupata msahama wa Raisi mara nyingi tu