Huna ujualo zaidi ya kupiga siasa mfu hapa jukwaani, akina Mdee ndio wameenda kuishtaki CDM ili wasifuvuliwe ubunge wa mchongo. Nitajie popote CDM walipoenda mahakamani baada ya uchaguzi wa kihayawani wa 2020.
Narudia tena, hujui usemalo. CDM waliwavua uanachama biashara ikawa imeisha, wao ndio ikabidi waende mahakamani kupinga kuvuliwa uanachama wao ili wasipoteze ubunge wao. Hii nayo inahitaji elimu ya chuo kikuu?
Ujambazi wa kutumia silaha kubwa aina ya AK47 ni Dalili za matayarisho ya kigaidi?
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam ACP Jumanne Muliro, ameripoti mfululizo wa matukio ya uporaji fedha tangu tarehe mosi January 1 2023 hadi January 8 2023 huku majambazi hayo wakitumia bunduki kubwa jijini Dar es Salaam.
Kamanda huyo amesema wamebaini kuwa baadhi yao wahalifu hao walitorekea nchi jirani baada ya kumaliza vifungo gerezani Tanzania na sasa wamerejea nchini kufanya matukio ya uporaji fedha .
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.