Serikali mmetunyima haki ya kumuombea Magufuli, kwa kutunyima taarifa za kuumwa kwake

Serikali mmetunyima haki ya kumuombea Magufuli, kwa kutunyima taarifa za kuumwa kwake

Naantombe Mushi

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2015
Posts
6,253
Reaction score
15,748
Rais Magufuli alikuwa muumini mkubwa wa maombi na kuombewa. Nna imani kabisa kama tungejulishwa kuhusu kuumwa kwake huenda wengi sana watanzania tungemuombea.

Badala yake serikali kwa sababu wanazozijua wao, waliamua kuficha taarifa na ilikuwa ni dhambi hata kuthubutu kumuulizia Rais alipo.

Ukweli usemwe, kwa mara nyingine tunashuhudia watanzania tukipokwa haki yetu ya kikatiba.

Hii inatakiwa ifike, mwisho. Msiba na majonzi haya yawe ni turnaround kwa nchi. Its now or never.
 
PM na wenzake!!!

Mbaya zaidi alisimama kwenye nyumba ya ibada(msikitini) kupotosha umma/kusema uongo. Sijui yupo kwenye hali gani sasa, nawashauri warudi kutubu na kumrudia Mungu kiukweli na sio kinafiki. Ifike wakati haki za watu ziheshimiwe madaraka ya kulevya yawekwe kando. Mungu Amlaze mahali Pema (M. A. P).
 
Back
Top Bottom