Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 22,714
- 34,545
Serikali nzima imefanya utoto sana kwenye hili suala.Mtendaji mkuu wa serikali ana la kujibu katika hili. Ukweli usemwe, Kassimu amefeli vibaya kwenye hili jambo
Serikali nzima imefanya utoto sana kwenye hili suala.Mtendaji mkuu wa serikali ana la kujibu katika hili. Ukweli usemwe, Kassimu amefeli vibaya kwenye hili jambo
mkuu umenena vyemaRais Magufuli alikuwa muumini mkubwa wa maombi na kuombewa. Nna imani kabisa kama tungejulishwa kuhusu kuumwa kwake huenda wengi sana watanzania tungemuombea.
Badala yake serikali kwa sababu wanazozijua wao, waliamua kuficha taarifa na ilikuwa ni dhambi hata kuthubutu kumuulizia Rais alipo.
Ukweli usemwe, kwa mara nyingine tunashuhudia watanzania tukipokwa haki yetu ya kikatiba.
Hii inatakiwa ifike, mwisho. Msiba na majonzi haya yawe ni turnaround kwa nchi. Its now or never.
Wengi waliokua wakihoji hawakua na nia njema, maneno yao mengi yalijaa kejeli, chuki, nderemo na vifijo huku wakiomba hisia zao ziwe kweli.Wananchi tulitimiza wajibu wetu wa kuhoji alipo Rais, tumetimiza wajibu wetu. Hakuna wa kutulaumu.
Ukiona vyaelea ujue vimeundwa.Wengi waliokua wakihoji hawakua na nia njema, maneno yao mengi yalijaa kejeli, chuki, nderemo na vifijo huku wakiomba hisia zao ziwe kweli.
Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
Imekuwa milele sasa.Ila Mungu acha aitwe Mungu aisee,jamaa aliingizwa bungeni kwa nguvu,kwa ajili ya debe la mitano tena baada ya mitano tenaa.
Sasa zimetimia. UnasemajeWengi waliokua wakihoji hawakua na nia njema, maneno yao mengi yalijaa kejeli, chuki, nderemo na vifijo huku wakiomba hisia zao ziwe kweli.
Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
Nchi nzima alipora uchaguzi kwa mitutu , mapanga na damu. Huyu jamaaa Ubilisi anampokea kwa bashasha huko.Watu wana vitu viiingi moyoni vya kuongea hasa waliopitiwa na mstari mwekundu kwenye uongozi wake kwa haki au kusiko haki pia.
Chukulia kauli ya sasa uchaguzi umekwisha maisha ya endelee (vuta taswira ya uchaguzi maumivu moyoni yasiyomfanowe kwa wapokwa) Je, ikiwa sasa ameshafariki azikwe haraka maisha yaendelee?
Maisha Maisha Maisha oooh maisha wee...
😂 😂Atakuwa amekaa zile siti za mbeleni kwa hadhi ya nafasi yake kicheo
Ni wa mbeya banaHalafu tumesahau mkuu wa mkoa wa mwanza naye alidanganya UMMA kua ameongea naye.
HahahhaahNashindwa kuelewa ni kwanini... ni angalau wangesema rais ni mgonjwa.. watu tukawa tupo kwenye maombi
Tena ndani ya Msikiti.Waziri Mkuu anapata wapi ujasiri wa kusimama mbele ya watanzania mil 50+ na kuwadanganya kuwa Rais mzima?
Niseme nini tena, nasubiri tu yatakayojiriSasa zimetimia. Unasemaje