Mbaya zaidi walisaidiwa na watu wengine kutupatia taharifa za mgonjwa wetu ila bado wakazikataaa.Nashindwa kuelewa ni kwanini. Ni angalau wangesema rais ni mgonjwa.. watu tukawa tupo kwenye maombi
Halafu ndio mnataka awe eti VP? TO HELL WITH HIM...yule ni cobra mwenye sumu Kali.Mtendaji mkuu wa serikali ana la kujibu katika hili.....Ukweli usemwe, Kassimu amefeli vibaya kwenye hili jambo
Daaah..huyo naye alipewa uwaziri wa mambo ya ndani, security ya nchi? Anakata viuno na wadada?"Mwenyezi Mungu anapaswa kumshukuru Rais Magufuli maana amefanya mambo makubwa sana.." Kangi Lugola.
Sasa wataficha wapo sura zao?Mbaya zaidi walisaidiwa na watu wengine kutupatia taharifa za mgonjwa wetu ila bado wakazikataaa
Nini lengo Lao?
Mpuuzi sana, ningekuwa Samia ningetengua hata huo uPM. Kutaka sifa za kijinga tu. Maghufuli siku zote aliomba kuombewa leo wanaficha ugonjwa wa mtu, Mungu wetu si kiziwi yamkini angesikia maombi ya waombaji.Halafu ndio mnataka awe eti VP...??? TO HELL WITH HIM...yule ni cobra mwenye sumu Kali.
Mtu mzima na akili zako unasimama kwenye nyumba ya ibada halafu unamwaga uongo. Ajitathmini sana.Watu wenye heshima kudanganya kwenye sehemu za ibada ilikua ishakua utamaduni kwa awamu hii ! Haikushangaza PM kusema Jiwe anachapa kazi ana mafile kibao halafu Jana Samia anasema alikua hospitalized tarehe za nyuma sana...kwa hili kuna watu inabidi wajipime au walitolewa kujibu mapigo ila kama wametolewa sadaka
Rais Magufuli alikuwa muumini mkubwa wa maombi na kuombewa. Nna imani kabisa kama tungejulishwa kuhusu kuumwa kwake huenda wengi sana watanzania tungemuombea.
Badala yake serikali kwa sababu wanazozijua wao, waliamua kuficha taarifa na ilikuwa ni dhambi hata kuthubutu kumuulizia Rais alipo.
Ukweli usemwe, kwa mara nyingine tunashuhudia watanzania tukipokwa haki yetu ya kikatiba.
Hii inatakiwa ifike, mwisho. Msiba na majonzi haya yawe ni turnaround kwa nchi. Its now or never.
Wakati wa JK, alivyoenda kufanyiwa upasuaji / operesheni haikufichwa, hata kabla hajaenda ilitangazwa anaumwa, na kila kitu kiliwekwa wazi, haata alivyomaliza upasuaji salama Ali share picha akiwa hospital marekani, na Watanzania wote hata wapinzani walimuombea, hata alivyopona alivyoanza mazoezi ya kukimbia alikua anafuatwa na kuhojiwa tena wakati mwingine akiwa kwenye nguo zake za mazoezi na kuwaeleza watanzania anaendelea vizuri.Ccm ni wanafiki wakubwa, wazandiki na wasio na utu! Mmemuua Mwenyekiti wenu kwa uzembe wenu
Hyu PM ni mtu niliyemuona kidogo ana uelekeo ila kwa alichokifanya hapana yaani ni bora angekaa kimya kuliko alichokiongea, hata bunge la juzi alidanganya umma kwamba walimu 5000 wamesambazwa vijijini ali akijua ni uongo, inaonekana kuna shida mahali.Waziri Mkuu anapata wapi ujasiri wa kusimama mbele ya watanzania mil 50+ na kuwadanganya kuwa Rais mzima?
Kweli amepanda alichovuna.. Hata mama Samia katangaza siku 14 za maombolezo wakati katiba inasema siku 21.Ni matunda ya sera alizoanzisha Magufuli - hakuna uhuru wa vyombo vya habari. Ni kosa la marehemu. Hawa wengine wanatekeleza tu.
Waziri Mkuu anapata wapi ujasiri wa kusimama mbele ya watanzania mil 50+ na kuwadanganya kuwa Rais mzima?
Tungeomba, tungefunga, hata wengine tungeenda kuongea na mizimu, sasa kama mhimili mkubwa kama PM alivyosimama kwenye nyumba ya ibada na kutamka wazi kua yupo anachapa kazi, nikajisemea kama yupo salama basi kheri, na naamin wengi wakaamin hivyo mana mtu ameongea hilo mbele ya waumini na ndani ya ibada na mbele ya Watanzania. Sasa sisi nani wa kumbishia, kumbe!Mpuuzi sana, ningekuwa Samia ningetengua hata huo uPM.....kutaka sifa za kijinga tu. Maghufuli siku zote aliomba kuombewa leo wanaficha ugonjwa wa mtu, Mungu wetu si kiziwi yamkini angesikia mamombi ya waombaji
Kweli amepanda alichovuna.. Hata mama Samia katangaza siku 14 za maombolezo wakati katiba inasema siku 21