Serikali mmetunyima haki ya kumuombea Magufuli, kwa kutunyima taarifa za kuumwa kwake

Serikali mmetunyima haki ya kumuombea Magufuli, kwa kutunyima taarifa za kuumwa kwake

Kifo kimeniuma lakini suala la kuficha maendeleo ya kiongozi wetu limeniuma zaidi, mlificha maradhi kifo kikawaumbua.
 
Hastahili hicho cheo tena. Kwa sababu lolote atakalosema, Watanzania hatutomwamini tena.
Tungeomba, tungefunga, hata wengine tungeenda kuongea na mizimu, sasa kama mhimili mkubwa kama PM alivyosimama kwenye nyumba ya ibada na kutamka wazi kua yupo anachapa kazi, nikajisemea kama yupo salama basi kheri, na naamin wengi wakaamin hivyo mana mtu ameongea hilo mbele ya waumini na ndani ya ibada na mbele ya watanzania. Sasa sisi nani wa kumbishia. kumbe!
 
Sina huruma nae, kaua ndugu yangu kwa mapanga, ubongo ukachuluzika mithili ya supu nzito ya nguruwe.. Mapolisi wakafanya uchunguzi wakasema ni ugomvi wa mapenzi, Pamoja na kuwaonesha meseji nyingi za vitisho kutoka kwa wana CCM hakuna hata mmoja aliyekamatwa.

Kisa cha yote ni ndugu yetu kuwa Diwani wa Chadema, hilo lilkuwa kosa kwao wakamuua kikatili kwa Mapanga .
Leo kwetu ni sherehe, wanafamilia tunasherekea mbuzi,anachinjwa.

R.I.P my bro, watesi wako wanakufata taratibu.
 
Tungeomba, tungefunga, hata wengine tungeenda kuongea na mizimu, sasa kama mhimili mkubwa kama PM alivyosimama kwenye nyumba ya ibada na kutamka wazi kua yupo anachapa kazi, nikajisemea kama yupo salama basi kheri, na naamin wengi wakaamin hivyo mana mtu ameongea hilo mbele ya waumini na ndani ya ibada na mbele ya watanzania.. Sasa sisi nani wa kumbishia ..kumbe .....!!

Kiongozi na viongozi Wakuu huombewa kila wakati na wanamaombi wanaojitambua. Kumuombe kiongozi mkuu ni kujiombea wewe kwasababu akikosea unaweza kujikuta umeweka mbuzi mgongoni ukidhania ni mtoto wakati unakimbia kutafuta hifadhi ya ukimbizi Burundi. Mama Samia tunafanya muondelezo tu na kubadili title yake katika maombi yetu.
 
Serekali imemuua rais wetu mpendwa laana hii iwe juu ya samia na majaliwa kwa ushetani waliomfanyia rais magufuli.
 
Sina huruma nae, kaua ndugu yangu kwa mapanga, ubongo ukachuluzika mithili ya supu nzito ya nguruwe.. Mapolisi wakafanya uchunguzi wakasema ni ugomvi wa mapenzi, Pamoja na kuwaonesha meseji nyingi za vitisho kutoka kwa wana CCM hakuna hata mmoja aliyekamatwa.

Kisa cha yote ni ndugu yetu kuwa Diwani wa Chadema, hilo lilkuwa kosa kwao wakamuua kikatili kwa Mapanga .
Leo kwetu ni sherehe, wanafamilia tunasherekea mbuzi,anachinjwa.

R.I.P my bro, watesi wako wanakufata taratibu.
Pole sana mkuu
 
Rais Magufuli alikuwa muumini mkubwa wa maombi na kuombewa. Nna imani kabisa kama tungejulishwa kuhusu kuumwa kwake huenda wengi sana watanzania tungemuombea.

Badala yake serikali kwa sababu wanazozijua wao, waliamua kuficha taarifa na ilikuwa ni dhambi hata kuthubutu kumuulizia Rais alipo.

Ukweli usemwe, kwa mara nyingine tunashuhudia watanzania tukipokwa haki yetu ya kikatiba.

Hii inatakiwa ifike, mwisho. Msiba na majonzi haya yawe ni turnaround kwa nchi. Its now or never.
Kwa hali hii imani yangu kwa kauli zinazotolewa na serikali imeshuka sana.
 
Upendo mwingi huja pale unapokufa, watakupa maua wakati wanajua huwezi kuyanusa.
 
Wamepata aibu kubwa sn
Kama hu Amin uwepo wa Mungu basi anza leo kuamini yupo!
Ukirusha jiwe juu hurudi chini!
Walikataza maombi kwa Lissu apa ni mipango ya Mungu! Mungu ndiye kafanya maombi yasiwepo
 
Ni ngumu kuhumukumu moja kwa moja wasaidizi wake, huenda yeye mwenyewe aligoma watanzania wasiambiwe chochote kuhusu ugonjwa wake mpaka mauti inamfika !! who knows !!

Huwa ni karama ya mwenyezi Mungu ambayo huwapa wachache sana kutabiri vifo vyao - mwingine anapata hapa nafasi ya kuzungumza na wasaidizi wake mambo yatakavyokuwa wakati akishafariki nk.. wengine huita hata watu wa dini kuwaombea wasamehewe dhambi zao kabla ya safari yao ya milele n.k

Hii ni karama haiko kwa kila mwanadamu !!
 
Back
Top Bottom