Serikali mmetunyima haki ya kumuombea Magufuli, kwa kutunyima taarifa za kuumwa kwake

ni kweli wangetuambia wakati anaumwa watanzania wote tungefanya maombi mungu angesikia dua zetu
 
Pengine w alimdanganya na yeye akati danganya!
Walidanganywa na nani? basi kama walidanganywa system nzima huko juu imefeli, waziri mkuu unasimama msikitini unasema rais mzima, ana chapa kazi ili iweje na kwa faida ya nani.... wakati almost a week kuna tetesi zinasambaa rais ni mgonjwa, bora angeendelea kukaa kimya tu kuliko ujinga aliouonesha hadharani
 
nyinyi wapumbafu sana hivi mnamlaumu majaliwa kusema hivyo hamjui kuwa kuna usalama wa taifa ndio unaopanga lini mtangaze na lini msitangaze na nini cha kuwaeleza wananchi sio majaliwa wala samiha
 
Yani apo alikengeuka 100% alafu kwenye mimbari ya msikiti dah waumini hawata mwamini tena pamoja na wana nchi kako se sana atutake radhi kwa niaba ya walio mdanganya vinginevyo ni yeye ndie aliye tu danganya!
 
Rais Magufuli alikuwa muumini mkubwa wa maombi na kuombewa. Nna imani kabisa kama tungejulishwa kuhusu kuumwa kwake huenda wengi sana watanzania tungemuombea...
Tanzania ingekuwa taifa la magharibi, kifo cha JPM kingewagharimu VP na PM nafasi zao. Kuwapa wananchi salaamu hewa kutoka kwa mtu ambaye yuko mahututi ICU ni dhambi ambayo ni ngumu sana kuivumilia.

Watanzania sio watoto wadogo; wanajua kuumwa na wamewahi kuuguza wapendwa wao mara nyingi tu! Badala ya kuwadanganya wananchi afadhali wangechagua kunyamaza na kuwaachia viongozi wadogo wajibizane na watu wa mitandaoni. They betrayed their oaths!
 
nyinyi wapumbafu sana hivi mnamlaumu majaliwa kusema hivyo hamjui kuwa kuna usalama wa taifa ndio unaopanga lini mtangaze na lini msitangaze na nini cha kuwaeleza wananchi sio majaliwa wala samiha
Amefariki sasa.. enhee..!!
 
Maombi ya wengi naamini yangemponya rais wetu,inaniuma sana
 
Rais Magufuli alikuwa muumini mkubwa wa maombi na kuombewa. Nna imani kabisa kama tungejulishwa kuhusu kuumwa kwake huenda wengi sana watanzania tungemuombea.

Badala yake serikali kwa sababu wanazozijua wao, waliamua kuficha taarifa na ilikuwa ni dhambi hata kuthubutu kumuulizia Rais alipo.

Ukweli usemwe, kwa mara nyingine tunashuhudia watanzania tukipokwa haki yetu ya kikatiba.

Hii inatakiwa ifike, mwisho. Msiba na majonzi haya yawe ni turnaround kwa nchi. Its now or never.
kwanini serikali ilitunyima haki ya kumuombea rais wetu mpendwa? kwanini ? wakati yeye alikua muumini wa maombi na Sara na siku zote alisema tumuombee? kumbe walitaka tumuombee katka kufanya kazi tu ila sio wakati anaumwa.//!????
 
nyinyi wapumbafu sana hivi mnamlaumu majaliwa kusema hivyo hamjui kuwa kuna usalama wa taifa ndio unaopanga lini mtangaze na lini msitangaze na nini cha kuwaeleza wananchi sio majaliwa wala samiha
Punguza mhemko vaa barakoa nawa kwa maji tiririka.
 
Ni vibaya serikali imeficha habari.

Ila, kumuombea mtu aliyekataa kuvaa barakoa kusingesaidia kitu.
 
Hamna kiongozi mwenye aibu nchi hii hasa katika utawala wa marehemu.

Subiri utamuona kwenye pilika pilika za maombolezo akiwa hana haya hata chembe
Kwa sasa ni kama vile kutokuwa na aibu ni sifa ya uongozi.

Kwamba ukiwa na aibu hufai kuongoza.
 
Rais Magufuli alikuwa muumini mkubwa wa maombi na kuombewa. Nna imani kabisa kama tungejulishwa kuhusu kuumwa kwake huenda wengi sana watanzania tungemuombea.

Badala yake serikali kwa sababu wanazozijua wao, waliamua kuficha taarifa na ilikuwa ni dhambi hata kuthubutu kumuulizia Rais alipo.

Ukweli usemwe, kwa mara nyingine tunashuhudia watanzania tukipokwa haki yetu ya kikatiba.

Hii inatakiwa ifike, mwisho. Msiba na majonzi haya yawe ni turnaround kwa nchi. Its now or never.
Urais wa Magufuli uliisha 2020 october 28. Shetani asingeweza kumsogeza hata miezi 6 mbele.
 
Ni vibaya serikali imeficha habari.

Ila, kumuombea mtu aliyekataa kuvaa barakoa kusingesaidia kitu.
Urais wa Magufuli uliisha 2020 october 28. Shetani asingeweza kumsogeza hata miezi 6 mbele.
 
PM na wenzake!!!

Mbaya zaidi alisimama kwenye nyumba ya ibada kupotosha umma/kusema uongo. Sijui yupo kwenye hali gani sasa, nawashauri warudi kutubu na kumrudia Mungu kiukweli na sio kinafiki. Ifike wakati haki za watu ziheshimiwe madaraka ya kulevya yawekwe kando. Mungu Amlaze mahali Pema (M. A. P).

Back
Top Bottom