Naantombe Mushi
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 6,253
- 15,748
Wameumbuka pakubwa.. Hasa yule PM sijui alikuwa anawaza nnWamepata aibu kubwa sn
Nashindwa kuelewa ni kwanini... ni angalau wangesema rais ni mgonjwa.. watu tukawa tupo kwenye maombiItabidi watueleze kwanini hawakutuambia?
Alijua atanyang'anywa kitengoWameumbuka pakubwa.. Hasa yule PM sijui alikuwa anawaza nn
Wananchi tumekuwa watiifu sanaWananchivtulitimiza wajibu wetu wa kuhoji alipo Rais, tumetimiza wajibu wetu. Hakuna wa kutulaumu.
Ataweka wapi sura yake? Bora angekaa kimyaHasahasa waziri mkuuu
Aisee hii itamtafuna sana amefanya bonge la mistakeWaziri Mkuu anapata wapi ujasiri wa kusimama mbele ya watanzania mil 50+ na kuwadanganya kuwa Rais mzima?
Kuna hii nadharia ya ukichoongea kinatajwa sanaCcm ni wanafiki wakubwa, wazandiki na wasio na utu! Mmemuua Mwenyekiti wenu kwa uzembe wenu
Hamna kiongozi mwenye aibu nchi hii hasa katika utawala wa marehemu.Ataweka wapi sura yake? Bora angekaa kimya
Huyo anatakiwa ajiuzuru. Maana aliudanganya uma kuwa katoka kuongea nae kuwa yupo fresh anapiga kazi. kumbe yupo Hospitali anapumulia Oxygen.Hasahasa waziri mkuuu
Natakanione siku ya mazishi atakaajeAtaweka wapi sura yake? Bora angekaa kimya