Serikali mmetunyima haki ya kumuombea Magufuli, kwa kutunyima taarifa za kuumwa kwake

Mtendaji mkuu wa serikali ana la kujibu katika hili. Ukweli usemwe, Kassimu amefeli vibaya kwenye hili jambo
Serikali nzima imefanya utoto sana kwenye hili suala.
 
mkuu umenena vyema
 
Ni matendo yake mwenyewe kwa utashi wake na ubishi. Ubabe una mwisho mbaya sana.
Ila Mungu acha aitwe Mungu aisee,jamaa aliingizwa bungeni kwa nguvu,kwa ajili ya debe la mitano tena baada ya mitano tenaa.
Imekuwa milele sasa.
 
Nchi nzima alipora uchaguzi kwa mitutu , mapanga na damu. Huyu jamaaa Ubilisi anampokea kwa bashasha huko.
 
Halafu tumesahau mkuu wa mkoa wa mwanza naye alidanganya UMMA kua ameongea naye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…