AbuuMaryam
JF-Expert Member
- Dec 26, 2015
- 2,577
- 4,637
Mnabariki uongo na dhulma kwa kumbambikizia mtu mtoto asiye wake kisa tu huyo mtu ana pesa. Sasa nyie serikali na huyo kahaba aliyebambikiza mtakuwa mna tofauti gani?
Eti kulinda maslahi ya mtoto mamlaka ya serikali inadanganya matokeo ya DNA na kumbambikiza mtoto kwa asiye baba yake kweli.
Kwahiyo mamlaka hizo zimechukua akili za huyo malaya na wenyewe wakawa na akili hizo hizo kumnyima mtoto kuwa na baba yake halisi.
Eti kupunguza watoto wa mitaani ndio tudanganye watoto huyu ni baba yako sio yule hali ya kuwa yule ndiye baba yake halisi.
Wanatengeneza dogo wanaharibu kubwa zaidi. Dhulma kubwa hii kabisa.