AbuuMaryam
JF-Expert Member
- Dec 26, 2015
- 2,577
- 4,637
Hujawahi ona wakisema hivyo maafisa ustawi...? HUO NDIO UKWELI NA HUWA WANAFANYA HIVYO ETI KULINDA NDOA...YAANI MWANAMKE ALIYECHEPUKA...AKAPATA MIMBA NJE...WANADANGANYA KUWA MUME NDIYE BABA HALISI...ILI TU KULINDA NDOA...HUKU WAKIJUA KWELI SIO...HUYU MWANAMKE ALICHEPUKA...AAMBIWE UKWELI MPELEKE MTOTO KWA BABA YAKE...Kama ni kweli hua wanatoa majibu ya uongo, basi hawafanyi vema
HahahahMKuu hebu tueleze kwa kituo nini kimejiri
Hua nasikia sana hiyo story kwamba wanaepusha migogoro ya kwenye ndoaHujawahi ona wakisema hivyo maafisa ustawi...? HUO NDIO UKWELI NA HUWA WANAFANYA HIVYO ETI KULINDA NDOA...YAANI MWANAMKE ALIYECHEPUKA...AKAPATA MIMBA NJE...WANADANGANYA KUWA MUME NDIYE BABA HALISI...ILI TU KULINDA NDOA...HUKU WAKIJUA KWELI SIO...HUYU MWANAMKE ALICHEPUKA...AAMBIWE UKWELI MPELEKE MTOTO KWA BABA YAKE...
Sheria sheria sheria zimetoka wapi hizo...si zimetungwa na makahaba hao hao kulinda maslahi yao...? Zingetoka kwa Muumba hapo sawa...
Na hapa hatuzungumzii baba wa hiari...tunazungumzia MTU MWENYE HAKI YA KUWA BABA MZAZI... MTOTO AITWE KWA JINA LA BABA YAKE MZAZI ..SIO WA KUTUNGA AU WA HIARI...
Mkuu,Ulimpanda huyo kahaba?Ulimwaga ndani?Ulifurahia?Kama jibu Ndiyo kwenye hizo conditions tatu basi usichukie kupewa Ubaba.Mwanamke hawi kahaba tena kama umeshalala naye.Kama alikuwa kahaba hukuwa na sababu ya kulala naye...Sheria sheria sheria zimetoka wapi hizo...si zimetungwa na makahaba hao hao kulinda maslahi yao...? Zingetoka kwa Muumba hapo sawa...
Na hapa hatuzungumzii baba wa hiari...tunazungumzia MTU MWENYE HAKI YA KUWA BABA MZAZI... MTOTO AITWE KWA JINA LA BABA YAKE MZAZI ..SIO WA KUTUNGA AU WA HIARI...
HEBU ACHA EASY THINKING...NDIO MAANA IKALETWA DNA...ILA KWENYE HAKI APEWE HAKI YAKE...ILI KUPUNGUZA KUWAPA HAKI WASIOSTAHILI.Mkuu,Ulimpanda huyo kahaba?Ulimwaga ndani?Ulifurahia?Kama jibu Ndiyo kwenye hizo conditions tatu basi usichukie kupewa Ubaba.Mwanamke hawi kahaba tena kama umeshalala naye.Kama alikuwa kahaba hukuwa na sababu ya kulala naye...
In short Hakunaga baba wa kutungwa kuna baba Mzazi,Mlezi au kama tunavosema wa kambo au wa kufikia.Ila kama nilivosema kama Sheria imekutunuku Ubaba basi wewe pokea huo ubaba.Kuhusu suala la utajiri na Matunzo hilo ni swala jingine kabisa...
Wanaepusha migogoro...sawa leo watanidanganya...kesho mama nikigombana nae akisema yule mtoto sio wangu kweli...ni wa fulani...hata DNA ilificha tu ukweli...watanisaidiaje wapumbavu hawa...?Hua nasikia sana hiyo story kwamba wanaepusha migogoro ya kwenye ndoa