Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Watu wadhaifu lazima wanyonyolewe vilivyo.Mkuu acha tuu nimechomolewa pesa hadi nashanga kwa kipi nilichofanya cha kutoa pesa nyingi hivi mkuu.
Alafu hao wenye viti na wengine wote wanashangaaa tuu...
Mkuu its so sad
Serikali inataka tufanye nini sasa hivi wameshindwa ku deal na ma big fish huko mpaka wanakuja kwetu kwa sisi watoto wa mama ntilie
