Serikali mnataka tufanye kazi gani?

Watu wadhaifu lazima wanyonyolewe vilivyo.
 
pole Sana - serikali yetu inakosa watu makini wenye kuwa na akili na hisia za kuvaa viatu vya watu wengine.


Japo nimeumia na kukuguswa natafakari njia bora ya kukusaidia katika kile ulichoharibikiwa

Stay calm and positive , hili nalo litapita.
 
Pole sana mpambanaji. Unahitaji mikakati kuishi na kustawi kwenye nchi ya wahuni.
 
Uchawa ndio ajira pekee inayopatikana kwa urahisi taifa la giza.
 
huana haja ya kuiba kuona wovu, wala kutamani au kudokoa mali ya wenyewe, watakupoteza bure tu

kilimo, ufugaji na biashara ni ajira za wazi, mtatiji ikiwa ni uthubutu, nguvu na bidii yako tu unatoboa maisha kiulaini sana
KAma hivyo mbona umejiajiri kwenye uchawa badala ya kilimo,ufugaji na biashara unayowashauri wengine wajiajiri.Ama ndio nyie msemao vijana mjiajiri bila kusema ni vipi namna ya kujiajiri.
 
KAma hivyo mbona umejiajiri kwenye uchawa badala ya kilimo,ufugaji na biashara unayowashauri wengine wajiajiri.Ama ndio nyie msemao vijana mjiajiri bila kusema ni vipi namna ya kujiajiri.
mwa huu wa kilimo nililima zaidi ya ekari mia3,

na katika mwaka ujao wa kilimo,
na actualy tayari kilimo kimeanza maeneo mengi nchini nitalima zaidi ya ekari mia4 bila mbambamba yoyote gentleman
 
TRA
MUNICIPAL
ZIMAMOTO
AFISA KATA
BWANA AU BIBI AFYA
MIZANI
DIWANI
KITONGOJI
NAWENGINE SIWEZI MALIZA
 
Tukisema tufanye ya kufanye mtaishia kutupeleka jela..
Na jela sio pazuri kwa vijana ndo maana tunawekeza huku lakini bado mnakuja kutu katisha tamaa...
I'm very sorry kijana mwenzangu hii kitu binafsi nilishapambana nayo

Yaani nilikuwa kwa siku napokea watu zaidi ya 3 wanatoka mamlaka tofauti nilikuwa na bucha aisee mpaka niliacha Ile biashara mwaka 2015 ndio nimetoka chuo Niko Moto!!

Halimashauri, watu wa afya na watu wa usafi ni maadui wa maendeleo ya vijana wenye mitaji midogo
 
mwa huu wa kilimo nililima zaidi ya ekari mia3,

na katika mwaka ujao wa kilimo,
na actualy tayari kilimo kimeanza maeneo mengi nchini nitalima zaidi ya ekari mia4 bila mbambamba yoyote gentleman
Ulilima nini na ulipata nini nionavyo wewe upo tu humu mchana usiku asubuhi jioni,u chawa na wewe wewe na chawa .Na kwa hali hiyo kilimo unakisingiziatu.
 
Vitu kama hivyo serikali inabidi iwape vijana miongozo. Hao maafisa kazi zao inabidi kuwa kutoa elimu, kuisadia biashara changa, kuangalia jinsi ya kuondoa au kupunguza changamoto.

Mbeleni ndio watakuwa wafanyabiashara wakubwa wakipata support.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…