Samahanai mkuu,Huyu jamaa naona baada ya dili lake la voda kufeli Sasa amekanyaga moto yaana watoto wa mjini tunasema kaingia kwenye kumi na nane anataka kujipatia hela Kwa kutunga stori za uongo sababu anajua watanzania wengi Wana low IQ naomba serikali yetu imtie nguvuni na abanwe kisawasawa Kwa kuzusha uongo wake na hicho kitabu kifungiwe
ni uzembe wa serikali kusema waliko, hai au wamekufa, haikusema, wacha kina kabendera waseme wajuavyoNdo madhara ya serikali isiyowajibika. Serikali ilikuwa na wajibu wa kuchunguza halafu ikatuletea report alipo saanane.
Sasa kwa kuwa serikali imekaa kimya! Mimi naenda na kabendera.
Wewe andika chako halafu useme "Magu hakuumdungua Ben" utakuwa umebalance story.Huyu jamaa naona baada ya dili lake la voda kufeli Sasa amekanyaga moto yaana watoto wa mjini tunasema kaingia kwenye kumi na nane anataka kujipatia hela Kwa kutunga stori za uongo sababu anajua watanzania wengi Wana low IQ naomba serikali yetu imtie nguvuni na abanwe kisawasawa Kwa kuzusha uongo wake na hicho kitabu kifungiwe
Kuna serikali sasa!Huyu jamaa naona baada ya dili lake la voda kufeli Sasa amekanyaga moto yaana watoto wa mjini tunasema kaingia kwenye kumi na nane anataka kujipatia hela Kwa kutunga stori za uongo sababu anajua watanzania wengi Wana low IQ naomba serikali yetu imtie nguvuni na abanwe kisawasawa Kwa kuzusha uongo wake na hicho kitabu kifungiwe
Umejuaje ni uwongo na kwanini aandike hayo lengo ni nini? ? Lakini kumbuka Maandiko yanasema " Hakuna anayeweza kumficha Mungu" Tena Yaliyofanywa sirini yatawekwa wazi"Huyu jamaa naona baada ya dili lake la voda kufeli Sasa amekanyaga moto yaana watoto wa mjini tunasema kaingia kwenye kumi na nane anataka kujipatia hela Kwa kutunga stori za uongo sababu anajua watanzania wengi Wana low IQ naomba serikali yetu imtie nguvuni na abanwe kisawasawa Kwa kuzusha uongo wake na hicho kitabu kifungiwe
Anatafuta Kiki ili iweje?Sijapaniki naongea uhalisia huyo kabendera anatafuta kiki
Why mnapenda kukimbilia kutumia nguvu badala ya akili!yy kaandika kitabu!ww thibitisha kwa kutuletea Ben saa naneHuyu jamaa naona baada ya dili lake la voda kufeli Sasa amekanyaga moto yaana watoto wa mjini tunasema kaingia kwenye kumi na nane anataka kujipatia hela Kwa kutunga stori za uongo sababu anajua watanzania wengi Wana low IQ naomba serikali yetu imtie nguvuni na abanwe kisawasawa Kwa kuzusha uongo wake na hicho kitabu kifungiwe
kwa hiyo akaona isiwe taabu akafanya tukio lile?Magufuli ndo alikuwa mhanga wa matusi na kashfa za Lisu
Tukio lipi?kwa hiyo akaona isiwe taabu akafanya tukio lile?
lissu kutwangwa masasi!Tukio lipi?
Wewe una chuki zako binafsi zilizotokana na kutotii mamlaka.Wewe ni MPUMBAVU ambaye unadhani aliyoyaandika Erick Kabendera ni ya UWONGO.
Magufuli alikufa kwa madhambi aliyowatendea Watanzania
Hilo huyu mzayuni hawezi kabisa wala kulifikiria anathibitisha uwepo wa hao low iq anaowazungumziaSio kwamba ishughulikie tatizo la UMEME kwenye SGR zetu mkuu?
Simulizi akasimulie wajukuu zake sisi sio wajinga alete picha ya tukio sio maandishi Kila mtu anaweza kuandikasio kila tukio mpaka picha iletwe, simulizi tu inatosha kuelezea jambo namna lilivyofanyika na kutendeka. Unataka scene kwani alikuwa anarekodi sinema?
Picha hamna kwasababu ni stori za kutunga tu Ili mkono uende kinywaniNa kwa akili yako unafikiri hiyo picha utaipata.
Uongo sababu kaleta maandishi ambayo Kila mtu anaweza kuyaandika Hana uthibitisho wowote akileta picha nitamuunga mkono ila maandishi tu ni porojoUmejuaje ni uwongo na kwanini aandike hayo lengo ni nini? ? Lakini kumbuka Maandiko yanasema " Hakuna anayeweza kumficha Mungu" Tena Yaliyofanywa sirini yatawekwa wazi"
Nilitaka kuuliza hili swali.Samahanai mkuu,
Hii low IQ ni tafiti au takwimu za Ofisi ya Taifa ya Takwimu?
Wakati Lisu anapigwa risasi magufuli alikuwa Dar acheni kumsingizialissu kutwangwa masasi!
Kitabu halina solo watapigwa wajinga tu kama weweIli kitabu kisipate soko mtuambie Ben Sanane yuko wapi, na pia mumrudishe kutoka huko aliko. Mbona simple tu?