Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ishu ya afya inahusu uhai wa mtu, it's do or die sasa ukileta mambo ya dini, aibu itakua ni kupoteza muda.Kwa nini polisi katika upekuzi kumpekua mtuhumiwa hutumiwa wanawake,mbona hata polisi mwanaume asitumike kumpekua mhalifu wa kike ?
Unaonaje juu ya polisi wa kiume kumpekua kila sehemu mtuhumiwa wa kike ?
Sheria gani? Badala ya kuchagua hospitali mjengewe nyinyi mkachagua "jumba la dhahabu" ndo mtulie mkiwa mnatibiwa busha na Sr. Consolata!Kuwepo wa kike na kiume ni Sheria kabisa na Wala sio tatizo pia unaficha nini huko ndani kisichojulikana, na hyo ya police mbona hukagua watu hadharani wakiwa wanaona nadhani hujawahi kukutana na Hawa mapolice wetu
Tofauti ya maneno hayo ni nini mkuu?Daktari hamtibii mtu, anamtibu mtu. Hoja nzuri, ifikapo 2030 takuwa na chuo Cha afya Cha wasichana. Nadhani kitakuwa hatua ya awali ya suluhisho hilo.
Chukulia Dr aliyemzalisha Poshqueen, mzigo wote ule🥰😍😋Kinachouma mama mzazi anaenda hospitali anakutana na daktari ambaye ana umri kama wa mimi mwanae alafu madaktari wa kike wapo kabisa.
Kuna mama wa kipemba wakati anajifungua alitaka kuja daktari wa kiume, basi mama mpemba akamuuliza "uko radhi kuchungulia tv ya mamayo wee "?
Daktari akaenda mbio
KUnapotetea uhai unajali Mambo ya aibu?
Huu NI ujinga kabisa
Mbele ya kifo unasema naona aibu!!!!
Madaktari NI wachache kwanza lazima muelewe
Kwa uhakika madaktari wengi ambao wamesomea mambo yahusuyo akinamama (gynecologist) ni wanaume. Msisitizo uwekwe ili wanawake wasomee fani hii ili kuwatibu akinamama ambao huogopa kutibiwa na ME . Yupo mkunga mmoja ambaye ni ME amejijengea jina kwa kuwazalisha wanawake wengi na pia kwa kuwa na lugha ya upole awapo katika shughuli hiyo ngumu ya kuzalisha. Waulizeni KE kuhusu kejeli wazipatazo toka kwa baadhi ya wakunga wa jinsia yao wakati wa kujifungua.Kigezo kinachoangaliwa pale ni ujuzi na sio jinsia.
Anaweza akawa daktari jinsia ya kiume ndio ana weledi na hiyo kazi kuliko hawa assistant nurse ambao kazi yao ni kufuata maelekezo nini wafanye kutoka kwa huyo daktari bingwa.
Sasa We utakubali kumuacha dada yako au mama yako asifanyiwe operation azae eti kwasababu ya daktari kua ni mwanaume?
Sasa kumkagua mtuhumiwa ni ISHU??Kuwepo nesi wa kike pembeni bado sio ishu.
Mbona polisi wa kike anapomkagua mtuhumiwa wa kike haitakiwi polisi wa kiume awepo bali huwa ukaguzi unafanyikwa wakiwa wawili tu ?
unachotakiwa kujua ni kwamba, sehemu za siri za mwanaume au mwanamke hazina thamani yeyote. MIMI ni mwanaume, ningekuwa naumwa ugonjwa wa aibu singependelea nitibiwe na mwanaume mwenzangu. imagine mwanaume mwenzio anakushikashika makalio, penis, korodani, etc, bora mwanamke nitakuwa confortable. uchi hauna uzee au ukijana, ni uleule tu. ukitaka kujua kuwa ucho wako huo na wa mkeo hauna thamani, waulize wanawake ambao walishaenda leba kujifungua.Wakuu naomba niipongeze serikali kwa jitihada zake inazofanya katika kuhakikisha ile heshima ya jinsia zote inalindwa.
Tukiangalia katika majeshi hasa jeshi la polisi utakuta kuna askari wa kike ambao kama itatokea muhalifu ni mwanamke basi askari yule hakuajiriwa kwa bahati mbaya bali hiyo itakuwa ni kazi yake kumpekua sehemu za mwili wake.
Hali kadhaalika mwanaume atapekuliwa na askari wa kiume katika kulinda heshima.
Hata mashuleni kuna waalimu wa kike kibao ambao wao watashughulikia masuala mbali mbali ya wanafunzi wa kike.
Mbona sioni suala hili la kuheshimu jinsia na kulinda heshima ya mtu likifanyika na kusisitizwa katika kada ya afya ?
Kwa nini isiwe kosa daktari wa kumtibia mgonjwa wa jinsia tofauti na yeye ikiwa katika hospitali hiyo ama maeneo hayo kuna daktari mwenye jinsia sawa na mgonjwa ?
Kama ambavyo polisi haruhusiwi kumfanyia upekuzi wa mwili mtu wa jinsia isiyekuwa yake wakati wa jinsia yake wakiwa pale hii ni kosa,vipi isiwe kosa katika hii kada ya afya ?
Yani utakuta hospitali kuna madaktari wa jinsia nyingi lskini mwanamke anatibiwa na mwanaume au kinyume chake.
Serikali isomeshe watoto wengi wa kike ili kuja kuepusha hii aibu,ipunguze vigezo vya kusomea udaktari kwa mwanamke hasa kwa mambo ya kawaida haya ambayo hayahitaji kujitoa sana wanawake wasomeshwe waje kuzalisha wanawake wenzao.
Chumba cha kuzalisha kuna madaktari wa kike watano na wa kiume mmoja,huyu wa kiume anatafuta nini,kwa nini isiwe kosa kisheria?
hii sio rahisi ,hakuna ubaya kuvua boxer yako kwa Dr wa kike.Cha muhimu ni matibabu.Hata kule labour ward madaktari wa kiume ndio wanaongoza kwa kufanya operation za kuzalisha na wala hakuna malalamishi.Huwezi kufika hospital na kuanza kuchagua mtu wa kukutibu .Wakuu naomba niipongeze serikali kwa jitihada zake inazofanya katika kuhakikisha ile heshima ya jinsia zote inalindwa.
Tukiangalia katika majeshi hasa jeshi la polisi utakuta kuna askari wa kike ambao kama itatokea muhalifu ni mwanamke basi askari yule hakuajiriwa kwa bahati mbaya bali hiyo itakuwa ni kazi yake kumpekua sehemu za mwili wake.
Hali kadhaalika mwanaume atapekuliwa na askari wa kiume katika kulinda heshima.
Hata mashuleni kuna waalimu wa kike kibao ambao wao watashughulikia masuala mbali mbali ya wanafunzi wa kike.
Mbona sioni suala hili la kuheshimu jinsia na kulinda heshima ya mtu likifanyika na kusisitizwa katika kada ya afya ?
Kwa nini isiwe kosa daktari wa kumtibia mgonjwa wa jinsia tofauti na yeye ikiwa katika hospitali hiyo ama maeneo hayo kuna daktari mwenye jinsia sawa na mgonjwa ?
Kama ambavyo polisi haruhusiwi kumfanyia upekuzi wa mwili mtu wa jinsia isiyekuwa yake wakati wa jinsia yake wakiwa pale hii ni kosa,vipi isiwe kosa katika hii kada ya afya ?
Yani utakuta hospitali kuna madaktari wa jinsia nyingi lskini mwanamke anatibiwa na mwanaume au kinyume chake.
Serikali isomeshe watoto wengi wa kike ili kuja kuepusha hii aibu,ipunguze vigezo vya kusomea udaktari kwa mwanamke hasa kwa mambo ya kawaida haya ambayo hayahitaji kujitoa sana wanawake wasomeshwe waje kuzalisha wanawake wenzao.
Chumba cha kuzalisha kuna madaktari wa kike watano na wa kiume mmoja,huyu wa kiume anatafuta nini,kwa nini isiwe kosa kisheria?
Nina wasiwasi wanawake wa hivi wakishapona, siku nyingine wakikutana na huyo dokta katika mazingira tofauti hawashindwi kumtunuku huyo dokta.Mimi nimeenda kupima vipimo na dr wa kiume pembeni yangu alikuwepo nurse mwanamke, na Hadi kwenda theatre hyo ni lazima nurse wa kike awepo na hyo ya kuchunguliwa haina mashiko
Kuna dhana moja kwamba mafundi nguo wa kiume ni wajuvi sana wa mishono ya kina mama.Wakuu naomba niipongeze serikali kwa jitihada zake inazofanya katika kuhakikisha ile heshima ya jinsia zote inalindwa.
Tukiangalia katika majeshi hasa jeshi la polisi utakuta kuna askari wa kike ambao kama itatokea muhalifu ni mwanamke basi askari yule hakuajiriwa kwa bahati mbaya bali hiyo itakuwa ni kazi yake kumpekua sehemu za mwili wake.
Hali kadhaalika mwanaume atapekuliwa na askari wa kiume katika kulinda heshima.
Hata mashuleni kuna waalimu wa kike kibao ambao wao watashughulikia masuala mbali mbali ya wanafunzi wa kike.
Mbona sioni suala hili la kuheshimu jinsia na kulinda heshima ya mtu likifanyika na kusisitizwa katika kada ya afya ?
Kwa nini isiwe kosa daktari wa kumtibia mgonjwa wa jinsia tofauti na yeye ikiwa katika hospitali hiyo ama maeneo hayo kuna daktari mwenye jinsia sawa na mgonjwa ?
Kama ambavyo polisi haruhusiwi kumfanyia upekuzi wa mwili mtu wa jinsia isiyekuwa yake wakati wa jinsia yake wakiwa pale hii ni kosa,vipi isiwe kosa katika hii kada ya afya ?
Yani utakuta hospitali kuna madaktari wa jinsia nyingi lskini mwanamke anatibiwa na mwanaume au kinyume chake.
Serikali isomeshe watoto wengi wa kike ili kuja kuepusha hii aibu,ipunguze vigezo vya kusomea udaktari kwa mwanamke hasa kwa mambo ya kawaida haya ambayo hayahitaji kujitoa sana wanawake wasomeshwe waje kuzalisha wanawake wenzao.
Chumba cha kuzalisha kuna madaktari wa kike watano na wa kiume mmoja,huyu wa kiume anatafuta nini,kwa nini isiwe kosa kisheria?
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji119][emoji119][emoji119]Takbiiiiiiiiiiiiiiiiiir.