Serikali: Ndege inayodaiwa kuanguka Kahama ni Majaribio ya Utayari

#HABARI Ndege aina ya Garet 5Q KTM ikiwa na abiria 42 imeanguka nje kidogo ya uwanja wa ndege wa Kahama wakati ikijaribu kutua kwa dharura. Watu 10 wanasadikiwa kufariki katika ajali hiyo

Ndege hiyo ilikuwa ikitokea nchini Rwanda kuelekea Msumbiji kupitia Dar es Salaam.
Taarifa zaidi zitakujia hivi punde #EastAfricaRadio
 
Ila mods waliweka update kuwa ni zoezi la majaribio ya uwokozi tena wamebadilisga.

Dah huzuni sana.
Wewe ni mpumbavu mkuu, nimeweka taarifa kama tetesi maana Kuna mtu kaniambia, ajabu unanitukana kua tuendelee kukaa vijiweni kujadili wanaume, yote hayo ya Nini??? Sasa taarifa imekua kweli kwanini wewe ulikua unatukana bila kujua kinachoendelea?
 
Dah! Huu mwaka wetu, yani tunatembea lakini sisi ni marehemu watarajiwa, poleni sana wafiwa ndugu jamaa na marafiki, pia marehemu wapumzike kwa Amani 🙏😞
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…