Serikali: Ndoa za jinsia moja hata wanyama hawana

Ndio utanifanya nini??mjinga wewe
 
Wanaanza kupakuana kimya kimya then baadae wataanza movement ya kutambulika na kulazimisha ndoa za jinsia moja kama ilivyo katika nchi za magharibi.

Ni bora kuwadhibiti mapema kabla hawajawa wengi na kuanza movement za kulazimisha haki zao
Kama magharibi kubaya na watu wake wapenda haki za kila kiumbe mbona kila kukicha mnakimbilia huko??hata dawa za ukimwi mnaomba huko hakuna kitu mnachoweza kufanya ili muendelee mnachojua ni chuki tu zisizo na maana kama mtu ni shoga inawahusu nini
 
Ndio
 
Bora waongee chin chin tu. Siunaona biti alilopigwa museven alivyoambiwa akipitisha muswada wa watu kufungwa wa jinsia moja
 
Haziruhusiwi mtaanza kusaka majumbani watu wanaishi vipi??Kweli nyie hamna kazi ndio maana umasikini hautaisha Tanzania
jia tutakayotumia tutajua sisi.....
Hilo sio jukumu lako, Umaskini? Hilo sio jukumu lako pia.....
Jukumu lako ni kuelewa kuwa Hamruhusiwi na ni marufuku kabisa.
 
Wanyama wapo. Unapokuwa kiongozi mkubwa ufanye tafiti za kutosha kabla ya kuzungumza. Ushoga upingwe lakini sio kuwa hoja za nyepesi. Na hata ukipinga bila kutoa sababu unaeleweka vizuri
Wanyama gani zaidi ya mbuzi na nguruwe!
 
Serikali isipepese macho na unafiki. Isiseme Kwa mafumbo na hitaji la maudhui. Serikali kupitia kunywa Cha Samia aseme mchana kweupe hadharani, "Tanzania haturuhusu ndoa ya jinsia moja" Ili Dunia ijue sio Sanaa za kina Mpango. Tuwe kama Museveni.
Kwa hiyo Samiah akisema hadharani ushoga utaisha?
 
Kama anamaanisha USHOGA ni DHAMBI, iweje afungishe NDOA na Kuhalalisha dhambi?

He is a Devil in human body.
Padri gani Mkatoliki aliwahi fungisha ndoa za mashoga na ni nchi zipi ambazo mapadre wanafungisha ndoa za mashoga?
 
Anaongea hivyo ktk vijiji visivyokuw na mbele wala nyuma Media coverage 1.0℅ aje aongee Dodoma au DSM Temeke pale
Jamii yoyote ilianzia chini na maadili ya jamii yoyote huanzia chini hasa hasa vijijini na mara nyingi miji hujengwa na wanavijiji.
 
Kama magharibi kubaya na watu wake wapenda haki za kila kiumbe mbona kila kukicha mnakimbilia huko??hata dawa za ukimwi mnaomba huko hakuna kitu mnachoweza kufanya ili muendelee mnachojua ni chuki tu zisizo na maana kama mtu ni shoga inawahusu nini
Wamagharibi ni wazuri ila sio kila kitu lazima tuige kutoka kwao.
Tunaweza kuiga mazuri kutoka kwao na kupinga mambo ya hovyo kama ushoga na usagaji.
 
Tukiruhusu tutaharibu mfumo wa familia wa asili ambao ni baba, mama na watoto.
 
Hizi ndo habar tunazopenda kuskia! Weken na adhabu kali ata kifungo cha maisha kwa mashoga wote.
 
Serikali isipepese macho na unafiki. Isiseme Kwa mafumbo na hitaji la maudhui. Serikali kupitia kunywa Cha Samia aseme mchana kweupe hadharani, "Tanzania haturuhusu ndoa ya jinsia moja" Ili Dunia ijue sio Sanaa za kina Mpango. Tuwe kama Museveni.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…