Lovie Lady
JF-Expert Member
- Feb 5, 2023
- 2,826
- 4,652
Maana nzitoWana laana aisee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maana nzitoWana laana aisee
Haziruhusiwi mtaanza kusaka majumbani watu wanaishi vipi??Kweli nyie hamna kazi ndio maana umasikini hautaisha TanzaniaUsiwe mkali.
Ndoa za jinsia moja haziruhusiwi......
Ndio utanifanya nini??mjinga weweUsirukeruke. Kasema ndoa ya jinsia moja tuikatae, hata kwa wanyama haipo. Haijali kama ni Polisi au Padri au Msabato, kwa nini unamtukana? Wewe ni shoga? Mashoga nao hawatakubali kunyanganganywa tonge mdomoni hivi hivi, watajitetea kwa vyovyote kama unavyofanywa japo hawana hoja. Nauliza tena: wewe ni shoga?
Kama magharibi kubaya na watu wake wapenda haki za kila kiumbe mbona kila kukicha mnakimbilia huko??hata dawa za ukimwi mnaomba huko hakuna kitu mnachoweza kufanya ili muendelee mnachojua ni chuki tu zisizo na maana kama mtu ni shoga inawahusu niniWanaanza kupakuana kimya kimya then baadae wataanza movement ya kutambulika na kulazimisha ndoa za jinsia moja kama ilivyo katika nchi za magharibi.
Ni bora kuwadhibiti mapema kabla hawajawa wengi na kuanza movement za kulazimisha haki zao
NdioUsirukeruke. Kasema ndoa ya jinsia moja tuikatae, hata kwa wanyama haipo. Haijali kama ni Polisi au Padri au Msabato, kwa nini unamtukana? Wewe ni shoga? Mashoga nao hawatakubali kunyanganganywa tonge mdomoni hivi hivi, watajitetea kwa vyovyote kama unavyofanywa japo hawana hoja. Nauliza tena: wewe ni shoga?
Bora waongee chin chin tu. Siunaona biti alilopigwa museven alivyoambiwa akipitisha muswada wa watu kufungwa wa jinsia mojaHawa nao waongee live kama Museveni sio kuongelea kwenye vibanda na kuvizia matukio.
Watoke hadharani na kauli thabiti kama wanavyofanya matukio ya Kujaza maji bwabwa la Nyerere au kupokea ndege,Yaani wajikusanye wote kama wanavyojikusanya(ga) halafu watoe tamko moja ili tuanzie hapo.
jia tutakayotumia tutajua sisi.....Haziruhusiwi mtaanza kusaka majumbani watu wanaishi vipi??Kweli nyie hamna kazi ndio maana umasikini hautaisha Tanzania
Umeleft group?Ndio
Wanyama gani zaidi ya mbuzi na nguruwe!Wanyama wapo. Unapokuwa kiongozi mkubwa ufanye tafiti za kutosha kabla ya kuzungumza. Ushoga upingwe lakini sio kuwa hoja za nyepesi. Na hata ukipinga bila kutoa sababu unaeleweka vizuri
Hapo sasa.Haya kama wapo, wanyama hawakupewa utambuzi..
Unaweza kumla Mama yako?? Au Dada yako??.
Ila wanyama wanakulana.
Kwa hiyo Samiah akisema hadharani ushoga utaisha?Serikali isipepese macho na unafiki. Isiseme Kwa mafumbo na hitaji la maudhui. Serikali kupitia kunywa Cha Samia aseme mchana kweupe hadharani, "Tanzania haturuhusu ndoa ya jinsia moja" Ili Dunia ijue sio Sanaa za kina Mpango. Tuwe kama Museveni.
Padri gani Mkatoliki aliwahi fungisha ndoa za mashoga na ni nchi zipi ambazo mapadre wanafungisha ndoa za mashoga?Kama anamaanisha USHOGA ni DHAMBI, iweje afungishe NDOA na Kuhalalisha dhambi?
He is a Devil in human body.
Jamii yoyote ilianzia chini na maadili ya jamii yoyote huanzia chini hasa hasa vijijini na mara nyingi miji hujengwa na wanavijiji.Anaongea hivyo ktk vijiji visivyokuw na mbele wala nyuma Media coverage 1.0℅ aje aongee Dodoma au DSM Temeke pale
Wako wengi kumbe hatujui ukitaka kujua uzuri au ubaya wa mto ogelea.Mashoga wamevamia uzi kumbe mko wengi humu daaah
Wamagharibi ni wazuri ila sio kila kitu lazima tuige kutoka kwao.Kama magharibi kubaya na watu wake wapenda haki za kila kiumbe mbona kila kukicha mnakimbilia huko??hata dawa za ukimwi mnaomba huko hakuna kitu mnachoweza kufanya ili muendelee mnachojua ni chuki tu zisizo na maana kama mtu ni shoga inawahusu nini
Tukiruhusu tutaharibu mfumo wa familia wa asili ambao ni baba, mama na watoto.Na je, hawa watu wakiachwa na kupewa haki yao ya kuoa au kuolewa na wanaowapenda, wale ambao sio LGBT community wanaathirika na chochote?
Yani tuseme watu wakipewa haki ya kufanya mapenzi ya jinsia moja, wewe ambae hufanyi mapenzi ya jinsia kuna athari utaipata?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Serikali isipepese macho na unafiki. Isiseme Kwa mafumbo na hitaji la maudhui. Serikali kupitia kunywa Cha Samia aseme mchana kweupe hadharani, "Tanzania haturuhusu ndoa ya jinsia moja" Ili Dunia ijue sio Sanaa za kina Mpango. Tuwe kama Museveni.