Serikali punguzeni customs vijana wanunue chuma kama hiki

Serikali punguzeni customs vijana wanunue chuma kama hiki

unafikiri hata ukiambiwa usilipie ushuru hilo gari wangapi wataweza kununua? Acheni kusingizia ushuru hata bila ushuru SUV mpya ya maana wengi hawawezi kununua. SUV nyingi tunazozipenda zenye majina bei bila ushuru inaanzia $50,000. Kama una hela hii huwezi kulialia ushuru kwasababu zipo gari za maana kwa hela hio zinafika uani kwako brand new. Tembelea CFAO,CMC,NISSAN,FK Motors etc
 
banaa wee acha tujibanze kwenye chaka la ushuru, ila hali ya uchumi wa watanzania wengi sio rafiki kwa magari kuanzia 100 millions.. hata seriakali iseme gari zinazo anzia 100 million kwenda juu ziingie bila ushuru tutaanzisha malalamiko mingine
 
Nyakati za Usiku barabara nyingi zinakuwa na traffic chache, nimekuwa mdau wa kusafiri sana usiku Kwa kukwepa Tochi za hao ndugu zetu...

Kama una mwendo wa 150km/Hr na hilo Volvo lako, Kufika Morogoro ni kugusa tu kutokea DSM
mbali ya tochi, usiku bado ni salama zaidi kwa safari ndefu, ili mradi usifikwe na kusinzia
 
Wanipunguzie ushuru kwenye haka
download.jpeg
 
Niliendesha Volvo Siku moja hapa DSM, nilichogundua ukitaka kulifaidi hilo gari nenda nalo safari ndefu, mathalani DSM - Mbeya ama DSM - Mwanza

Gari Lina speed meter ya 220 ama 240 kama sijakosea.

Kwahiyo ukilipiga full tank halafu utoke DSM saa 12 Jioni hivi kuitafuta Morogoro itakuwa ni mwendo wa saa 1:30 tu 🙌
Mimi binafsi sipendi ma speed kwenye hizi barabara zetu za third world countries.

Nilisafir kwa premio X kutoka dar mpaka Tabora na kurud Ila wasiwasi muda WOTE njiani usiku mnapishana na malori mengi kweli kweli
 
Back
Top Bottom