Serikali: Sasa ni ruksa kusafirisha wanyama nje ya nchi

Kunakoelekea hata dona kutoka Colombia itakuwa ruksa kuingia nchini!!
 
Bibi Karithi Shamba..., kinachoendelea tunajionea...

Ingawa nahisi hili shamba halina mwenyewe
 
Daah kuna watu wanaroho ngumusana ktk nchi yetu kinachofanya watalii waje ni hao wanyama leo unawabeba kuwauza Mwenyezi Mungu ingilia kati nchi hii inaenda zake....
 
Watanzania hawaeleweki niliempenda hayupo tena,mama pga kazi uza hata hzo ndege.
 
Miaka ijayo tutakua kati ya tunaoshawishiwa kwenda nje kuona wanyama pori
 
Shama la babu kila mtu anachuma amachoweza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…