Serikali: Sasa ni ruksa kusafirisha wanyama nje ya nchi

Serikali: Sasa ni ruksa kusafirisha wanyama nje ya nchi

Kwani kinana anasemaje..?
Kweli nimeamini maneno ya prof Anna tibaijuka aliposema kadili unavyopanua ndivyo wanavyotamani
Kinana yuko kitwai demacated area huko simanjiro,kule ana kitalu cha tembo,ameingia jioni hii tayari kesho kutii agizo la serikali, kupakia mzigo kupitia KIA
 
Taahira kama wewe unaekula tu kwa mumeo huwezi kujua chochote
Tembo wamejaa mpaka wanavamia mashamba yetu na kuharibu mazao bora wapunguzwe kwa kuuzwa tupate fedha .hata jana mama salma kikwete amelia bungeni wananchi wake wanasumbuliwa na tembo
 
Kufika 2030 wanyama watakua wameisha nchi hii maana sasa watasafirishwa kwa hasira sana kufidia muda ule ambao hawakua wanasafirishwa.

Hii nchi sasa ni ruksa kwa kila kitu, nchi imefunguliwa kwa rushwa, wizi, mikataba mibovu, na kila kitu.

Huyu mama kwao Zanzibar hawana wanyama zaidi ya pweza na ngisi anataka amalize wanyama wetu kisha arudi kwao Zanzibar.

Watanganyika tumekwisha.
Usihofu sana mkuu..huenda nasi tutahamishiwa huko..
Wacha waanze kwanza na wanyama!
😉😛 NB: "kuna siku nchi itapigwa mnada hii" in JYN's voice
 
Mama anaupiga mwingi sana, Mungu ampe afya njema mama, na ampe umri mrefu.
 
Usihofu sana mkuu..huenda nasi tutahamishiwa huko..
Wacha waanze kwanza na wanyama!
[emoji6][emoji14] NB: "kuna siku nchi itapigwa mnada hii" in JYN's voice
In Ndugai's voice
 
Usihofu sana mkuu..huenda nasi tutahamishiwa huko..
Wacha waanze kwanza na wanyama!
😉😛 NB: "kuna siku nchi itapigwa mnada hii" in JYN's voice

Sometimes huwa mnawaza nini lakini!! Eti itapigwa mnada, atakua na upumbavu gani mpaka aipige mnada nchi hii!!! Ndio maana weupe wanatushangaa yani tunaongea vitu ambavyo havipo akilini
 
Zuio la kusafirisha wanyama kwenda nje lilikuwepo ila kusafirisha wanyama kwenda Burigi halikuwepo.!
 
Serikali kupitia wizara ya maliasili na utalii kuanzia sasa imeruhusu biashara ya kusafirisha wanyama pori hai nje ya nchi iliyokuwa imepigwa marufuku tangu mwaka 2016.
View attachment 2250504
Siku za waovu kuendelea kukalia viti wasivyostahili zinahesabika.

Mngekuwa na "MACHO" mngeshikamana na Hekima, busara na maarifa, bt mmechagua kushikamana na UOVU.

Mkiuza wanyama hai,, wao wanaenda tengeza zoo, baada ya muda hakuna atakayekuja kufanya utalii.

Kwa sababu mmeamua kushikamana na upumbavu, HASARA haikwepeki.Amen
 
Bora angekuwa anakula mwenyewe kama kina Mobutu Seseseko na Sani Abacha, mali isingeisha. Hawa wa Tanzania ni numbskulls, wanaachia nchi iliwe na wageni na wafanyabiashara.... Himaya ya Babangida na Bokassa ungetoa mali ya nchi kizembe zembe ?
 
Siku za waovu kuendelea kukalia viti wasivyostahili zinahesabika.

Mngekuwa na "MACHO" mngeshikamana na Hekima, busara na maarifa, bt mmechagua kushikamana na UOVU.

Mkiuza wanyama hai,, wao wanaenda tengeza zoo, baada ya muda hakuna atakayekuja kufanya utalii.

Kwa sababu mmeamua kushikamana na upumbavu, HASARA haikwepeki.Amen

Wako watalii wao hutaka kumuona mnyama live haijalishi atamuonea wapi. Kuja kutalii ni kama kwenda uwanjani kwenye mechi ya soccer au American football. Hivyo akijua mnyama anayetaka kumuona yuko Dubai zoo ataenda kumuona huko hawezi kuja hapa kungongwa na inzi wa umasaini kule mbugani. Maamuzi haya yanaigharimu RT kwa kiasi flani.
 
Hapo nahis kina makam mwenyekiti wanaingia kwenye bness tena rasmi.., wew raia ukipata nafasi piga tu kama watawala wanavyopiga., upo ofisi ya uma unashindwaje kupiga hata rimu.
Mimi ndiyo nashangaa uzalendo wamekufa nao akina nyerere
 
Back
Top Bottom