Serikali: Sasa ni ruksa kusafirisha wanyama nje ya nchi

Serikali: Sasa ni ruksa kusafirisha wanyama nje ya nchi

Tanzania kwenye rushwa, wizi na utoroshaji wa rasilimali tupo kama Congo, sema sisi hatuna vita, na majizi yanapata ulinzi na Usalama kutoka Serikalini, sababu majambazi yenyewe ni Serikali.
 
Siku hizi ni ngumu kutenganisha habari ya Utani (Jokes) na Reality..., sababu ni kama tunaishi in a Fictional Non Logical World....

Kama ni vema kufanya hivyo why miezi sita ? kwanini isiwe to infinity ? Au ni kuwapa dili walio na shehena zao waweze kuzi-dispose....

Na pro and cons ya hili jambo ni nini ?

Na Je angalau si lingepita kule kwenye a rubber stamp ya serikali (bunge) ili likajadiliwe ili likibackfire tupate wengi walio responsible
Pro & Crons?

Ukishampa Mtu Twiga, Kifaru, Tembo , fisi , bata maji, Ngedere, Kakakuona, Tausi, fisi,nguchiro akafungua Zoo huko Ulaya Wazungu wanaangalizia huko hawatakuja huku*

Lakini hata wakitaka ku-act movies za wanyama, kufanya research hawahitaji kuja huku na kulipa ghali kwa kazi hiyo, wanfnyia huko huko:

Faida:
———-
Madalali wa hii biashara wanaendelea kutajirika na familia zao huku wanyonge mkisisitizwa Mkopo wa halamshauri na kama hujapata wewe ni mkenya
 
Sasa mwizi gani anasubiri tamko la serikali? Jangili anafanya kivyake, hasubiri serikali itoe ruksa.
 
Naipongeza Serikali kwa maamuzi haya.. kwani matembo yamekuwa mengi sana hivyo kuvamia makazi ya binadamu.. yapunguzwe.

Na zile pembe za ndovu kule Zanzibar atafutwe mteja tu..tunaweza pata dispensaries na shule nyingi tu.

Kazi iendelee...
Tembo na viboko wamekuwa wengi, wanauwa wananchi, wapunguzwe, mapato yatasaidia miradi mikubwa ya kiuchumi,
 
Bora wangeongeza hifadhi za taifa na kuwapeleka huko kama wameongezeka..na sio kuwauza nje.
 
Wangeacha kuja,sababu biashara hiyo haijaanza leo,afrika kusini waliwauzia rwanda Simba wengi wa kupeleka kwenye mbuga yao akagera,huko arabuni Pana games siku nyingi lakini bado wanakuja
Wanaokuja si Waarabu tena
Watalii wanao ongoza kuja sasa ni Russia, Ukraine na Spain.

Wengine washakuwa na Mbuga zao na bado tunawapa wanyama:

Mi kwangu ni big NOO:
 
Watanzania tuko suspicious sana na serikali ya.samia hasa anavyowakumatia majizi na kuhimiza ulaji wa urefu wa kamba so hawatakiwi kupata hii opportunity mtalia , utasikia meli ya container za pembe ,ama utasikia twiga wamesepa maana hawa ndo watu walio jikoni kwa sasa
Inauma sana mkuu
 
Wako watalii wao hutaka kumuona myama live haijalishi atamuonea wapi. Kuja kutalii ni kama kwenda uwanjani kwenye mechi ya soccer au American football. Hivyo akijua mnyama anayetaka kumuona yuko Dubai zoo ataenda kumuona huko hawezi kuja hapa kungongwa na inzi wa umasaini kule mbugani. Maamuzi haya yanaigharimu RT kwa kiasi flani.
Umeongea ukweli
 
Kuna mambo SSH anaifurahisha lakini kwa hili siungani naye, labda sijui mchakato huu umekaaje na una athari gani kwa maslahi ya taifa.
 
labda kaona hawaji,kaamua awafuate huko huko..lol
Sheria ilitugwa 2009 wewe unaona imetugwa Leo?.Na unaelewa nini ukisikia ruhusa ilitolewa ni ya miezi 6 tu?.Ulitaka hao wafanya biashara ambao tayari zuio la Magufuli lilikuja wakati tayari kwenye vitalu vyao kuna wanyama, wawapeleke wapi na ili hali serikali haikuwa tayari kuwachukua wanyama na kuwarudishia wafanya biashara gharama zao?.
 
Back
Top Bottom