Leonard Robert
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 11,125
- 7,373
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwani kinana anasemaje..?
Kweli nimeamini maneno ya prof Anna tibaijuka aliposema kadili unavyopanua ndivyo wanavyotamani
Kinana yuko kitwai demacated area huko simanjiro,kule ana kitalu cha tembo,ameingia jioni hii tayari kesho kutii agizo la serikali, kupakia mzigo kupitia KIAKwani kinana anasemaje..?
Kweli nimeamini maneno ya prof Anna tibaijuka aliposema kadili unavyopanua ndivyo wanavyotamani
Tembo watalia usiku kucha leoKinana yuko kitwai demacated area huko simanjiro,kule ana kitalu cha tembo,ameingia jioni hii tayari kesho kutii agizo la serikali, kupakia mzigo kupitia KIA
Tembo wamejaa mpaka wanavamia mashamba yetu na kuharibu mazao bora wapunguzwe kwa kuuzwa tupate fedha .hata jana mama salma kikwete amelia bungeni wananchi wake wanasumbuliwa na temboTaahira kama wewe unaekula tu kwa mumeo huwezi kujua chochote
Usihofu sana mkuu..huenda nasi tutahamishiwa huko..Kufika 2030 wanyama watakua wameisha nchi hii maana sasa watasafirishwa kwa hasira sana kufidia muda ule ambao hawakua wanasafirishwa.
Hii nchi sasa ni ruksa kwa kila kitu, nchi imefunguliwa kwa rushwa, wizi, mikataba mibovu, na kila kitu.
Huyu mama kwao Zanzibar hawana wanyama zaidi ya pweza na ngisi anataka amalize wanyama wetu kisha arudi kwao Zanzibar.
Watanganyika tumekwisha.
Kufika 2030 wanyama watakua wameisha nchi hii maana sasa watasafirishwa kwa hasira sana kufidia muda ule ambao hawakua wanasafirishwa.
Hii nchi sasa ni ruksa kwa kila kitu, nchi imefunguliwa kwa rushwa, wizi, mikataba mibovu, na kila kitu.
Huyu mama kwao Zanzibar hawana wanyama zaidi ya pweza na ngisi anataka amalize wanyama wetu kisha arudi kwao Zanzibar.
Watanganyika tumekwisha.
In Ndugai's voiceUsihofu sana mkuu..huenda nasi tutahamishiwa huko..
Wacha waanze kwanza na wanyama!
[emoji6][emoji14] NB: "kuna siku nchi itapigwa mnada hii" in JYN's voice
Usihofu sana mkuu..huenda nasi tutahamishiwa huko..
Wacha waanze kwanza na wanyama!
😉😛 NB: "kuna siku nchi itapigwa mnada hii" in JYN's voice
Ww level ya mkoa wa chattleKwamba huyo kichaa aliwatoa akili kina hangaya wawe wanaruhusu mambo ya hovyo kama haya?
Siku za waovu kuendelea kukalia viti wasivyostahili zinahesabika.Serikali kupitia wizara ya maliasili na utalii kuanzia sasa imeruhusu biashara ya kusafirisha wanyama pori hai nje ya nchi iliyokuwa imepigwa marufuku tangu mwaka 2016.
View attachment 2250504
Tnank you Abdul Kindovu Katembo.Serikali kupitia wizara ya maliasili na utalii kuanzia sasa imeruhusu biashara ya kusafirisha wanyama pori hai nje ya nchi iliyokuwa imepigwa marufuku tangu mwaka 2016.
View attachment 2250504
Siku za waovu kuendelea kukalia viti wasivyostahili zinahesabika.
Mngekuwa na "MACHO" mngeshikamana na Hekima, busara na maarifa, bt mmechagua kushikamana na UOVU.
Mkiuza wanyama hai,, wao wanaenda tengeza zoo, baada ya muda hakuna atakayekuja kufanya utalii.
Kwa sababu mmeamua kushikamana na upumbavu, HASARA haikwepeki.Amen
Mimi ndiyo nashangaa uzalendo wamekufa nao akina nyerereHapo nahis kina makam mwenyekiti wanaingia kwenye bness tena rasmi.., wew raia ukipata nafasi piga tu kama watawala wanavyopiga., upo ofisi ya uma unashindwaje kupiga hata rimu.
Kibao kitageukaMiaka ijayo tutakua kati ya tunaoshawishiwa kwenda nje kuona wanyama pori