Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 32,639
- 42,908
Hawawezi kuisha maana wanazaliana, bora wauzwe waingize pesa.Kufika 2030 wanyama watakua wameisha nchi hii maana sasa watasafirishwa kwa hasira sana kufidia muda ule ambao hawakua wanasafirishwa.