Serikali: Sasa ni ruksa kusafirisha wanyama nje ya nchi

Serikali: Sasa ni ruksa kusafirisha wanyama nje ya nchi

Acha ujinga, akitokea mtu akafanya hujuma kuibawanyama kwenye hifadhi utawatofautisha vipi???.
Unateuliwa kuwa rais bara ukitokea visiwani kuja kumiliki na kusimamia hifadhi zote za Taifa na madini yote wakati visiwani ni njaa tupu. Ni nini hatma ya Bara katika uongoxi huu?
 
Sasa huko ulaya wakishawaona huko, wazungu watakuja kufanya nini tena hapa kwetu[emoji848]?
Sijui Royal Tour ilikuwa na kazi gani!! It was wastage of our money kama wanyama pori wanauzwa nje wakawe vivutio huko!!

Wazungu wakishawaona nn cha ajabu sana kitakachowafanya waje Tanzania!!

Tunakimbizana kutangaza utalii na kuuharibu at the same time!!
 
Kwa kweli hapana hebu warudie kufanya haya maamuzi big nooooooo!!!

Kwa hiyomzungu akitaka kuona twiga sasa ataenda uarabuni kuwaona kweli,

Please noooooooo!!! Wanaharibu sasa!!

#Our Twiga, Our heritage!!!
Naona unataka kumtekenya makalio Kinana wewe
 
Back
Top Bottom