Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
BitchHamna tatizo kama wapo wengi sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
BitchHamna tatizo kama wapo wengi sana
Watakuja kuona mji mkongwe🏃Sasa huko ulaya wakishawaona huko, wazungu watakuja kufanya nini tena hapa kwetu[emoji848]?
Unaongea kutoka moyoni au utaniHakika mama anaupiga mwingi,
Afadhali limekufa lile shetani mwenda kuzimu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mimi mwenyewe najiuliza hili!?Sijui Royal Tour ilikuwa na kazi gani!! It was wastage of our money kama wanyama pori wanauzwa nje wakawe vivutio huko!!
Wazungu wakishawaona nn cha ajabu sana kitakachowafanya waje Tanzania!!
Tunakimbizana kutangaza utalii na kuuharibu at the same time!!
Subiria dawa ikuingie,Unaongea kutoka moyoni au utani
Ipo siku Kuna mtu atakuja kulipua hii nchi kwa huu upuuzi maana hii serikali imetuona wananchi hatuna athari yoyote wanatuona kama maiti, nasisi vijana tumezubaa mnooo mpaka najiuliza usomi wetu uko wapi sasa kama uhuni huu tu nakaa kimya yaaniSasa ile royal tour ilikuwa ya kazi gani kama hao wanyawa mnaotaka waje wawaone na mpate hela mnawauzia huko
Waje huku kwa kazi gani!?
Unajua sisi wa waafrika wapumbavu sana
Kuna mambo huwa yanakera
Tukiwahoji hivi mnasema tunapinga pinga kila kitu.
Nauliza royal tour ilikuwa kwa kazi gani!?
Nafikiri kuwa muafrika ni kazi ngumu!?
[emoji849]Wakitangaza kuuza visiwa mnitag wazee maana hela zipo
Najua ntauzia kwa bei kama bure maana wapo wenye tamaa ntawapata tu
Hata hao Twiga watapelekwa kwa makaratasi kuwa wameuza Kasuku
Inaweza kufanyika cost benefit analysis kuona kama ina athari zozote japo watalii lazima waje huku kipindi cha baridi kule kwao.Unaijue effect yake kwenye sekta ya utalii nini? Royal Tour ilikuwa basi ni kupaka upepo rangi tu!!
Inauma sanaMama naweza kusema kwa kiasi hana uchungu na Bara.
Hatuna Rais kwa kifupi
Maneno mazito sana. Hawa Wahindi wanaojiita WaTZ naona kama wanatuhujumu hivi? Na ndiyo hao wafadhili wa vyama, wapo kila sekta nyeti. Hivi kwa nini wanaaminiwa kijinga hivi?Naamimi kabisa nchi hii mapinduzi yatakuja kuanzia hapa JF. Maxence Melo Max uendelee kutiwa nguvu bro. Sana sana bro.
Hii nchi haiji kuendelea bila wewe. Ni hiyari yetu tu kuamua.
Mimi nilishamua. Even with a thousand cuts I'll die for my mother country.
Wengi wanapinga kwa kigezo cha utalii bila kufanya utafiti wowote. Watalii huku lazima waje kwao kunapokuwa majira ya baridi au joto kali (middle east)ni kweli,...
Kama ni hivyo, ni sawa tu.Safi sana ni kwa mujibu wa sheria