Serikali: Sasa ni ruksa kusafirisha wanyama nje ya nchi

Kufika 2030 wanyama watakua wameisha nchi hii maana sasa watasafirishwa kwa hasira sana kufidia muda ule ambao hawakua wanasafirishwa.
Hawawezi kuisha maana wanazaliana, bora wauzwe waingize pesa.
 
Hapo nahis kina makam mwenyekiti wanaingia kwenye bness tena rasmi.., wew raia ukipata nafasi piga tu kama watawala wanavyopiga., upo ofisi ya uma unashindwaje kupiga hata rimu.
Umeisoma hiyo report?
 
Asante mungu Asante mungu Leo Uncle Atachinja mbuzi
 
Wanyama walioko kwenye hifadhi za Taifa wana sura tofauti na walioko kwenye vitalu ili wakifikishwa airport tofauti ziwepo?
Kinana anamiliki vitalu vinne, naye atasafirisha!
V
Wanyama waliopo hifadhini ni marufuku kuwindwa au kuuzwa

.....ila wa kwenye vitalu inaruhusiwa kwa kibali.
 
Acha ujinga. Wanyama huwa wanaongezeka Sana hivyo huhitaji kuvunwa. Wakivunwa wakauzwe huko duniani. Wewe wa Kantalamba huko huna hata faida kwenye mbuga kwenyewe huwa huendi
Usafirishaji wa twiga Sasa ruksa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…