Serikali: Sasa ni ruksa kusafirisha wanyama nje ya nchi

Hahahaha haya nayo ni matokeo ya Royal tour hahahaha!
Yani uruhusu kusafirisha wanyama halafu papo hapo ufanikiwr kwenye utalii? Kamwe kamwe haitotokea!

Pengine serikali imeanza kuchanganyikiwa kabisa hahahahahaha

Sasa serikali imeshindwa kujua kuwa wanakuja kwakuwa kwao hawapo ? Kwa hiyo wameona kuliko watalii kusumbuka kuja bora wawapelekee

Hahahahahaha hakika inasikitisha
 
[emoji81][emoji81][emoji81]tutafika tume choka sanaa

Jangili kinana at the wheel
 

Hapa ndio nimeamini serikali nzima imechanganyikiwa kabisa!
 
Mleta mada utakufa na kuacha umasikini kwa familia yako kwasababu umekariri, jua kwanza ni wanyama gani wanaoongelewa na waliokuwa wakisafirishwa
 
Wanajaribu kila namna watukele tu ili roho zao ziflahi maana bila hivyo hawajiamini kama wana mamlaka ya kufanya lolote
 
Ndio tujifunze na yule mzee aliyerudishwa juzi mwenye kichwa kama namba moja ananyoa dongo muda wote, uraia wake ni wa mashaka.

Maana makaburi ya ancestors wake sio watanzania ndio maana aliwavuta wale wavaa vilemba wenzake tayari kuanza kubeba wanyama.

Tuwe makini sana nani anakuwa katika sekta nyeti, watu wa mipakani na watu wenye asili ya mataifa ya nje sio wa kuwapa maamuzi makuu au kuwaweka serikalini.

Hawa wakishashika nafasi wanakumbuka ndugu zao na kuanza kutapanya rasilimali za watoto na wajukuu halali wa hili taifa.
 

Hahahaha wacha weee kwakuwa tunapata hela nyingi tuuze tuu urithi wetu hakika Mama ana upiga mwingi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Aisee! Naona Image ya JMK inaanza kuonekana vizuri katika awamu ya Mama!
 
Mama naweza kusema kwa kiasi hana uchungu na Bara.
Kama wanyama wa kwenye vitalu wamezaliana kwa wingi ni vyema wakawindwa na kuuzwa ili kuongeza pato la taifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…