Championship
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,500
- 10,616
Sasa hapo kwenye kuchagua inategemeana na namna tunavyojitangaza.Wanaenda nchi zingine sio lazima Tz
Ukipita miji mikubwa kule US kuna mabango kwenye treni yanayoitangaza Bahamas na matokeo yake nchi hiyo yenye watu karibu laki nne ilikuwa inapokea watalii kati ya milioni mbili na tatu kabla ya corona kuanza.