Serikali: Sasa ni ruksa kusafirisha wanyama nje ya nchi

Serikali: Sasa ni ruksa kusafirisha wanyama nje ya nchi

Matangazo alafu vivutio unauza.
Kwakweli inasikitisha, Inahuzunisha mno.

Umeandaa documentary ya kupromote biashara yako vizuri, Hata mwaka haujapita, Yaani hata matunda ya documentary yako hayajaonekana then unauza malighafi ya biashara yako?

Ni nini hiki kinafanyika? Kama ni biashara basi soon tutafeli, Maana kanuni kuu ya kumvutia mteja kwako siku zote ni pamoja na kuilinda malighafi yako, kuikuza na kuzuia washindani wako kuipata malighafi yako.
 
Yaani sisi Waafrika ni manyang'au kweli...

Sasa ukishapeleka hao wanyama huko nje, hao wazungu watakuja kwetu kweli wakati huko kwao watakakuwa tayari wana hao wanyama!!!
 
Eti MATAGA nao wanashangaa wakati utawala uliopo ni wa chama chao.
 
Serikali kupitia wizara ya maliasili na utalii kuanzia sasa imeruhusu biashara ya kusafirisha wanyama pori hai nje ya nchi iliyokuwa imepigwa marufuku tangu mwaka 2016.
View attachment 2250504
Aisee mbona Sasa wanyama wetu wanaenda kuisha , na kuaribu utalii tz Kama mtu atakua na nyumbu anakuja tz kufanya nini, hii hapana, serikali sijui mnatuchukuliaje,
Hii biasha ikome Mara moja
 
Wanauzwa wanyama sio vivutio, kuwa muelewa.

Usijitoe ufahamu
Sasa kwani watalii wanapokuja huku siwakuja kuona pamoja na hao twiga.sasa kwao wakiwepo kuna haja gani wao kuja huku
 
Kwakweli inasikitisha, Inahuzunisha mno.

Umeandaa documentary ya kupromote biashara yako vizuri, Hata mwaka haujapita, Yaani hata matunda ya documentary yako hayajaonekana then unauza malighafi ya biashara yako?

Ni nini hiki kinafanyika? Kama ni biashara basi soon tutafeli, Maana kanuni kuu ya kumvutia mteja kwako siku zote ni pamoja na kuilinda malighafi yako, kuikuza na kuzuia washindani wako kuipata malighafi yako.
Mkuu wataenda Zanzibar kujianika juani kule beach sio lazima wafike mbugani.
 
Sasa kwani watalii wanapokuja huku siwakuja kuona pamoja na hao twiga.sasa kwao wakiwepo kuna haja gani wao kuja huku
Hao wanyama wanaofugwa na kulishwa kwenye 'zoo' (Kama kuku wa kisasa ) hawawezi kuwa kivutio kikubwa cha kuzuia watalii kuja hifadhini kuona maisha ya wanyama mwituni.
 
Back
Top Bottom